Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

Kwa mujibu wa ibara ya ngapi ya katiba?
 
Kwa mujibu wa ibara ya ngapi ya katiba?
Kwani ya kaisari wampe kaisari, ni ibara ya ngapi ya katiba? Labda kwa kuwa Bishop amekemea mambo ambayo Wewe unayashabikia, angeshabikia hayo mambo wala hizi hoja
Zako usingezileta hapa! Dini zipo kikatiba na Kati ya majukumu yake ndo hayo!! Note: Bishop amekemea uvunjwaji wa katiba ambao kuna watu wanajiandaa kuufanya!!
 
Kumbe hujui kuwa kuna tofauti kati ya katiba ya chama cha siasa na katiba ya nchi.
Katiba ya nchi ndiyo sheria mama ya nchi ikielezea namna mambo ya nchi itakayoendeshwa. Katiba ya chama inahusu uendeshaji wa wa mambo ya chama husika tu.
Kubadilisha katiba ya nchi kunahitaji Bunge Maalum la Katiba. Katiba ya chama hubadilishwa kwa makubaliani ya wanachama kwa misingi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…