Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Na wewe huwa unaota hivo mkuu??nimo
π€£ π€£ π€£ ajabu nilikuwaga mtabe wa Math, na Physics ila kwenye ndoto unashangaa pepa aliendi, mara ugomee pepa, mara ufike bado dk 10Na wewe huwa unaota hivo mkuu??
Acha kabisa mbaya zaidi zinajirudia sana mpaka nikahisi huenda kuna kitu aisee.π€£ π€£ π€£ ajabu nilikuwaga mtabe wa Math, na Physics ila kwenye ndoto unashangaa pepa aliendi, mara ugomee pepa, mara ufike bado dk 10
Personally naonaga kawaida, may be kazi zetu zinahusu mambo innovative, kila muda tunasomaAcha kabisa mbaya zaidi zinajirudia sana mpaka nikahisi huenda kuna kitu aisee.
Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho!??
Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level na advance ni kama kila siku tu.
Mwanzo nilikua napuuza lakini naona sasa inakua too much, karibu kila siku naota nipo shule mara nafanya pepa, nasubiri matokeo, nipo class nasoma, napiga story na wana yani zile moments nlizokua nafanya skuli ila zinakua advanced. Kama ni pepa linaweza kua gumu sana au jepesi sana.
Kuna tafsiri yoyote juu ya hizi ndoto??
Hii ya kufika bado dk kadhaa nishaiota sana mkuu au kushtuka kuna national ya drs la 7 zikiwa zimebaki siku 3 tuπ€£ π€£ π€£ ajabu nilikuwaga mtabe wa Math, na Physics ila kwenye ndoto unashangaa pepa aliendi, mara ugomee pepa, mara ufike bado dk 10
πππ Mkuu mi sikua mwizi wa peni tu advance nikwida sana vitabu.MALIPO ni hapa hapa duniani watafute uliwaibia ποΈ , kifutio, kichongeo shule ya msingi kisha waombe msamaha usipofanga hivyo vyeti vyako vyote vitaungua mizimu ya kwenu insongea na wewe π€ͺ
I feel you bro, Keep the fight On [emoji123]Hiyo hali hata mimi ninayo sana, kila mara naota nipo shule. Ila kwa muono wangu naona labda kwa sababu tangu nimemaliza shule life langu halijatulia, msoto mkali so pengine subconsciously ubongo unakuwa unajaribu kunipa relief kwa kunikumbusha moments za shule kwa sababu hicho ndo kipindi sikuwa na changamoto nyingi za kimaisha au pengine ubongo kifikra unatamani siku zirudi nyuma ili nibaki kuwa mtoto kama sehemu ya kutafuta solution ya hali ya sasa.
Naona ni kama nafsi ipo kwenye denial state kuhusu hali ya sasa.
Still fighting.