Kupaa kwa gharama za maisha Uingereza πŸ‡¬πŸ‡§ πŸ‡¬πŸ‡§ kwawasukuma wanawake wa UK πŸ‡¬πŸ‡§ πŸ‡¬πŸ‡§ kufanya biashara ya ukahaba ili kupata kula yao

Sasa najiuliza hizo papuchi wanawauza akina nani wasio athirika na hivyo vita?
Dushe litasimama ikiwa mtu ana stress?
Afadhali waseme tuwatumie tiketi za ndege waje huku Tz tuwanyandue maana wengi wetu tunalima mahindi na mpunga uwezo wa kuwalisha na nguvu za kunyandua tunazo na kutosha.
 
We na wapumbav wenzako ni mafal@ ,UK wakisturve Hilo lishithole country lenu mtakufa njaa kabisa kama rats ,sasa hivi Tu mnalia kama mbweha Kwa kupandishiwa hivyo vimia , na linchi lenu lililofilisika Hilo mpaka mnakwapuliwa pesa toka benki , pumbav ,nchi yenye social safety nets kwa raia wake kama UK raia wawe desperate hivyo ?.Usivyo na akili makahaba wanaexist kila Kona ya dunia na utakuta wengi ni illegal migrants waliozamia hapo UK wakitokea shithole countries za KiAfrica na wanaishi bila papers hivyo hata hizi Government subsidies programs hawawi included .

Subiri miezi 5 mbeleni urudi hapa kupost ujinga wako tena , mark this comment kama Una akili nzuri .Subiri financial mayhem inayoenda kutokea kwenye nchi zenu za kipumbav hizi za Subsahara .

Kibano kimeanza kuwaingia wenzenu Sierra leon na Ghana huko kila siku wanaandamana kutokana na msoto WA inflation na life hardship .
Mpuuz mmoja wewe.
 
Kama nawaona wadangaji wa kibongo wanavyojisemea"kama mzungu anadanga apate kula sisi ni kina nani tusidange"
 
Nilitaka niku-tagg aisee [emoji1][emoji1][emoji1]

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kodi juu, Gesi usiseme na Umeme balaa
Kila kitu kumepanda mwendo wa overtime na extra job mpaka kieleweke huku biashara ndogo ndogo

Yaani uzuri na unafuu ajira ziko kibao
Kila siku ziko zaidi ya 200,000
Hao wameamua kuwa machangu tu kwa bei poa
 
Hahah poleni mzee,ngoja tuone kwny winter hapo mambo yataendaje mkuu.
 
Hali ni mbaya sana madereva TREN wamegoma, wafanyakazi wa bandari kitengo Cha kontena wamegoma na mgomo inaelekea utasambaa zaidi sababu malipo madogo kulinganisha na kupanda Kwa Bei ya nishati na hali ya maisha .
Ahsante urusi.
 
Nimejaribu kunyamaza kama wengine ila nimeshindwa, mkuu wewe ni fala wa Karne sikufichi, mkataa kwao siku zote ni mtumwa, wazungu sijui wana wapaga nini kwa kweli, so sad.
 
Saivi ukiwa na elfu tatu unaondoka na supa wumani unaenda kumfanyisha kazi za kibeto mpaka asubuhi
 
Effects za Vita vya Putin zipo globally. Hata hapa bongo tuna share kama sehemu nyengine za dunia. Lawama za tatizo hili binafsi nazitupa kwa Putin et-al..................Kremlin siyo smart hata kidogo!. Ukraine imemshindaje ku control bila vita?. Russia should be smart bwana kiasi cha kuweza kumdhibiti jirani yake pasipo kurusha hata risasi moja.
 
Usituletee makasiriko yako
 
Duuuuh!, ndugu yangu unaipenda Urusi kushinda kitu chochote, sijui imekufanya nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…