Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Si tuliambiwa Urusi iko kwenye Hali mbaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tuliambiwa Urusi iko kwenye Hali mbaya?
We na wapumbav wenzako ni mafal@ ,UK wakisturve Hilo lishithole country lenu mtakufa njaa kabisa kama rats ,sasa hivi Tu mnalia kama mbweha Kwa kupandishiwa hivyo vimia , na linchi lenu lililofilisika Hilo mpaka mnakwapuliwa pesa toka benki , pumbav ,nchi yenye social safety nets kwa raia wake kama UK raia wawe desperate hivyo ?.Usivyo na akili makahaba wanaexist kila Kona ya dunia na utakuta wengi ni illegal migrants waliozamia hapo UK wakitokea shithole countries za KiAfrica na wanaishi bila papers hivyo hata hizi Government subsidies programs hawawi included .Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa bei kiasi kwamba wanashindwa kumudu gharama za chakula.
Mstahiki Meya wa London amekiri kuwa mfumko wa bei London ni mkubwa mno haujawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi iliyopita, akaongeza kuwa familia nyingi za waingereza zinashindwa kumudu kupata chakula chao cha siku na zinaenda kuteseka zaidi ktk kipindi cha Winter (December hadi February) kama serikali isipotafuta njia mbadala za kuzinusuru familia hizo.
Shikamoo Putin...Kila kona ya Ulaya umepeleza vilio...watu wanapambana na hali zao[emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji56][emoji56][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
=====
View attachment 2330012View attachment 2330013View attachment 2330014
Nilitaka niku-tagg aisee 😄😄😄Acha tupambane tu
Nilitaka niku-tagg aisee [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahah poleni mzee,ngoja tuone kwny winter hapo mambo yataendaje mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kodi juu, Gesi usiseme na Umeme balaa
Kila kitu kumepanda mwendo wa overtime na extra job mpaka kieleweke huku biashara ndogo ndogo
Yaani uzuri na unafuu ajira ziko kibao
Kila siku ziko zaidi ya 200,000
Hao wameamua kuwa machangu tu kwa bei poa
Hahah poleni mzee,ngoja tuone kwny winter hapo mambo yataendaje mkuu.
Hahah na Hilo nimeshaliona,nategemea kuona mafuriko ya diasporas kipindi hicho.Ndio balaa zaidi tutafika winter [emoji3063] hoi sana
Ila dawa ni kuja home na kukaa hata miezi 6 haha
Hahah na Hilo nimeshaliona,nategemea kuona mafuriko ya diasporas kipindi hicho.
Sasa Yale makalio flat yakija bongo nani atakayoyataka? Labda huyu lily baba mnigeria mama muingerezaSi waje bongo
Nimejaribu kunyamaza kama wengine ila nimeshindwa, mkuu wewe ni fala wa Karne sikufichi, mkataa kwao siku zote ni mtumwa, wazungu sijui wana wapaga nini kwa kweli, so sad.We na wapumbav wenzako ni mafal@ ,UK wakisturve Hilo lishithole country lenu mtakufa njaa kabisa kama rats ,sasa hivi Tu mnalia kama mbweha Kwa kupandishiwa hivyo vimia , na linchi lenu lililofilisika Hilo mpaka mnakwapuliwa pesa toka benki , pumbav ,nchi yenye social safety nets kwa raia wake kama UK raia wawe desperate hivyo ?.Usivyo na akili makahaba wanaexist kila Kona ya dunia na utakuta wengi ni illegal migrants waliozamia hapo UK wakitokea shithole countries za KiAfrica na wanaishi bila papers hivyo hata hizi Government subsidies programs hawawi included .
Subiri miezi 5 mbeleni urudi hapa kupost ujinga wako tena , mark this comment kama Una akili nzuri .Subiri financial mayhem inayoenda kutokea kwenye nchi zenu za kipumbav hizi za Subsahara .
Kibano kimeanza kuwaingia wenzenu Sierra leon na Ghana huko kila siku wanaandamana kutokana na msoto WA inflation na life hardship .
Mpuuz mmoja wewe.
Usituletee makasiriko yakoWe na wapumbav wenzako ni mafal@ ,UK wakisturve Hilo lishithole country lenu mtakufa njaa kabisa kama rats ,sasa hivi Tu mnalia kama mbweha Kwa kupandishiwa hivyo vimia , na linchi lenu lililofilisika Hilo mpaka mnakwapuliwa pesa toka benki , pumbav ,nchi yenye social safety nets kwa raia wake kama UK raia wawe desperate hivyo ?.Usivyo na akili makahaba wanaexist kila Kona ya dunia na utakuta wengi ni illegal migrants waliozamia hapo UK wakitokea shithole countries za KiAfrica na wanaishi bila papers hivyo hata hizi Government subsidies programs hawawi included .
Subiri miezi 5 mbeleni urudi hapa kupost ujinga wako tena , mark this comment kama Una akili nzuri .Subiri financial mayhem inayoenda kutokea kwenye nchi zenu za kipumbav hizi za Subsahara .
Kibano kimeanza kuwaingia wenzenu Sierra leon na Ghana huko kila siku wanaandamana kutokana na msoto WA inflation na life hardship .
Mpuuz mmoja wewe.