Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Utasubiri Sana nchi ya waarabu hii.Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi.
Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube inamtambua mtu yeyote atakayetumia njia nyingine kupakua video za mtandao huo kuwa ni JANGILI na ni kosa kisheria.
Siamini kama jeshi la polisi Tanzania lilipata idhini ya kupakua maudhui hayo, hivyo nashauri askari aliyekiri kufanya hivyo ashtakiwe kwa jina lake.
waarabu wa wapi, wa pemba au oman?Utasubiri Sana nchi ya waarabu hii.
Hahahaa, inawezekana.Kwamba Insp John awekwe rumande Kwa kosa la kupakua video ya Lisu?
Kwa NCHI ambayo mfalme NI madam juha utasubiri sana
Kuna nini kimetokea?Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi.
Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube inamtambua mtu yeyote atakayetumia njia nyingine kupakua video za mtandao huo kuwa ni JANGILI na ni kosa kisheria.
Siamini kama jeshi la polisi Tanzania lilipata idhini ya kupakua maudhui hayo, hivyo nashauri askari aliyekiri kufanya hivyo ashtakiwe kwa jina lake.
Polisi kavunjasheria.Kuna nini kimetokea?
Mnaanza kuwapa point za kueskape....mjinga yule angependa cross examination angejinyea ....hajui hata anataka Nini Kama kalazimishwa ....ndio maana upelelezi huwa haukamiliki...Ule ushahidi wake utatupiliwa mbali na mahakama maana uko kinyume na sheria. Shahidi ameiba maudhui ya utube ambayo hana hati maliki kisheria.