Kupanda kwa bei ya mafuta Kenya kwasababisha baadhi ya mitaa Wananchi kuingia mtaani leo Mei 18, 2026

Kupanda kwa bei ya mafuta Kenya kwasababisha baadhi ya mitaa Wananchi kuingia mtaani leo Mei 18, 2026

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708







​
Hii ni Barabara ya Thika kuelekea mjini... wenye magari wanalazimika kurudi....Vijana wanawataka warudi nyumbani wasiingie town....hofu ya wezi ni kubwa pia

WhatsApp Image 2026-05-18 at 09.23.07.jpeg

Maeneo ya Kitengela

=============

Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, ametangaza kusitishwa kwa mgomo wa wasafarishaji kwa muda wa wiki moja baada ya kikao cha mashauriano kati ya serikali na waendeshaji wa sekta hiyo.

Amesema "Wakenya wameumia. Na sio hawa tu kwa sababu hao wako kwa biashara, hata Wakenya wa kawaida katika sekta zote. Watoto hawajaenda shule, kuna wagonjwa wanaohitaji kwenda hospitali, kuna mazao ya shambani yanayohitaji kusafirishwa. Na ndio maana tulichagua kuondoka njiani na kuja pamoja kusikilizana."

 
nadhani kutokujitambua kwa waandanaji imekua changamoto kubwa zaidi Kenya 🐒
 
Back
Top Bottom