MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
nimesema migomoHadi tufike 1 July, 2026 tutegemee bei ya petrol kufika shilingi 5,000
Ila maandamano sio rahisi kutokea tena, maana tumeshakuwa fixed tayari Nchi nzima
naunga mkono maandamano ya kisayansi kwa kila mtu kukaa kwakwe na kujifungia ndani na mke wake na si vinginevyo πUkienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi.
Angalia mwenendo wa bei Dar:
Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda ~48%, dizeli ~57%.
- Petroli: Feb TZS 2,788 β Mei TZS 4,115
- Dizeli: Feb TZS 2,701 β Mei TZS 4,248
Vita vya Mashariki ya Kati na kufungwa kwa Hormuz vimechangia, lakini tozo na kodi za serikali ndizo zinabeba mzigo mkubwa wa bei yetu. kuna tozo na kodi zaidi ya 19 zenye thamani ya zaidi ya TZS 1,113 kwa kila lita β Fuel Levy, Excise Duty, Petroleum Development Levy, Railway Development Levy, VAT, Import Declaration Fee, n.k, karibu asilimia 40 ya bei ya pampu ni tozo za serikali. Linganisha: Uganda ~26%, Ethiopia hawatozi kabisa. Ndiyo maana mwananchi anabeba mzigo wa pande mbili, bei ya dunia pamoja na tozo za nyumbani.
Mafuta yamepanda haraka kuliko nauli, hii ndio hatari zaidi na tumeshaona Wasafirashaji wakigoma na kupanga migomo na hakuna kitu rahisi kama kugoma kwenye usafirishaji.
Mgomo wa nchi nzima hauhitaji tangazo. Wamiliki wanaweza kulemaza usafiri kwa njia ngumu kuzishika kisheria:
90%+ ya wakazi wa miji wanategemea usafiri wa umma, hata punguzo la nusu kwa wiki linaweza kusimamisha jiji.
- Kupunguza safari (badala ya 8, wanafanya 4)
- Kupunguza saa za kazi (kutoa magari asubuhi tu, au kuchelewa kuingiza magari)
- Kutotoa magari kwa mzunguko β nusu ya magari yanapumzika kila siku, kila baada ya siku moja
Hatari kubwa zaidi β kusambaa sekta nyingine. Hapa ndipo jambo linakuwa la taifa zima. Mgomo wa usafiri ni "kibiriti" tu; mfumuko wa bei ndio "petroli."
- Wafanyakazi wa umma (walimu, wauguzi, polisi wa chini): mishahara ni ileile, lakini nauli + chakula vimepanda. Mtumishi wa mshahara mdogo anaposhindwa kufika kazini na mshahara hauwezi kumudu maisha β madai ya nyongeza ya mshahara β migomo ya kisekta.
- Madereva wa malori/mizigo (cargo): wakijiunga, bandari na usambazaji wa bidhaa unaganda β uhaba β bei zaidi β hasira zaidi. Hii inageuza tatizo la "mijini" kuwa la kitaifa.
- Wakulima: dizeli ya matrekta, umwagiliaji na kusafirisha mazao sokoni inapanda β gharama za uzalishaji wa chakula zinaongezeka β mfumuko unazidi.
- Machinga na biashara ndogo: abiria wakipungua, wateja wanapungua; pembejeo zinapanda. Hawa ni wengi na wepesi kuingia mitaani.
- Boda boda na bajaji: tayari ni sekta ya usafiri β wakijiunga na daladala, hakuna njia mbadala iliyobaki.
Tofauti na migomo ya Madaktari Serikali imewahi kuingiza Madaktari kutoka Jeshini, ila safari hii hakuna idadi ya magari ya jeshi inaweza kupunguza aina ya mgomo huu, zaidi ni kwamba hayo magari hayatumii maji yanatumia mafuta ambayo yamepanda, hata Serikali ikisema ipunguze gharama ya mafuta kwa magari ya Jeshi bado watachochea mgomo wa Wauzaji wa mafuta, kiufupi hili swala la mafuta ni sehemu nzuri ya kuhakikisha utawala wa Samia hautawali.
Tutarajie migomo na mdororo mkubwa wa Uchumi
Huenda hiyo ikawepo, maana hizo nauli mpya hadi mwanafunzi wa shule ya msingi Mlimani zinamwathirinimesema migomo
Ww kama nani?naunga mkono maandamano ya kisayansi kwa kila mtu kukaa kwakwe na kujifungia ndani na mke wake na si vinginevyo π
Usimuamini sana binadamu mwenye hasira,chuki na madai ya msingi.Hadi tufike 1 July, 2026 tutegemee bei ya petrol kufika shilingi 5,000
Ila maandamano sio rahisi kutokea tena, maana tumeshakuwa fixed tayari Nchi nzima
Soon kutakuwa na necessary conditions kila mtu kuandamana.Sijajua ila leo nimeletewa kale kamtung kadogo ka gesi kg 6 elf 30 ba usafir buku.imekuaje kuaje sijui. Mara ya mwisho nilibadilisha kwa elf 23
common mwananchi πWw kama nani?
Ni sahihi Mkuu, lakini sioni hilo likitokeaUsimuamini sana binadamu mwenye hasira,chuki na madai ya msingi.
Ndio maana mwisho nimesema tukigoma hawatapona, kodi na tozo hawawezi kupunguza, mafuta hawawezi kupunguza, mishahara hawawezi kuongeza, uwekezaji hawawezi kuletaMkuu VAT ilishatolewa kitambo kwenye Petrol/ Diesel, receipt ya Fuel Station inasoma 0% VAT
Hizo fee zingine ndio hua sizielewi
Tatizo wamekopa mno na kusema watarudisha kwa kutoza KODI, FEE na LEVY kwa vyanzo hivi hivi vya ndani ndio maana unaona FEE (TOZO) zimekua nyingi MNO
Kubaya ni kwamba sioni sehemu ya KuAdjust mambo yakae sawa
ππππ
Safari tunakuja kuhamasisha migomoNyumbu tena mnataka kuingia road au sijaelewa vizur?
Hapa sawaSafari tunakuja kuhamasisha migomo
Linganisha: Uganda ~26%, Ethiopia hawatozi kabisa. Ndiyo maana mwananchi anabeba mzigo wa pande mbili, bei ya dunia pamoja na tozo za nyumbani.
Hili suala ili kuamuliwa ipasavyo linamhitaji kiongozi mwenye akili nyingi, kiongozi anayejiamini, na kiongozi aliyechaguliwa kwa kura halali na wananchi kwenye uchaguzi huru na wa haki. Kinyume na hapo hakuna kinachoweza kufanyika ili kuwanusuru wananchi na huu ugumu wa maisha wanao upitia.Ukienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi.
Angalia mwenendo wa bei Dar:
Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda ~48%, dizeli ~57%.
- Petroli: Feb TZS 2,788 β Mei TZS 4,115
- Dizeli: Feb TZS 2,701 β Mei TZS 4,248
Vita vya Mashariki ya Kati na kufungwa kwa Hormuz vimechangia, lakini tozo na kodi za serikali ndizo zinabeba mzigo mkubwa wa bei yetu. kuna tozo na kodi zaidi ya 19 zenye thamani ya zaidi ya TZS 1,113 kwa kila lita β Fuel Levy, Excise Duty, Petroleum Development Levy, Railway Development Levy, VAT, Import Declaration Fee, n.k, karibu asilimia 40 ya bei ya pampu ni tozo za serikali. Linganisha: Uganda ~26%, Ethiopia hawatozi kabisa. Ndiyo maana mwananchi anabeba mzigo wa pande mbili, bei ya dunia pamoja na tozo za nyumbani.
Mafuta yamepanda haraka kuliko nauli, hii ndio hatari zaidi na tumeshaona Wasafirashaji wakigoma na kupanga migomo na hakuna kitu rahisi kama kugoma kwenye usafirishaji.
Mgomo wa nchi nzima hauhitaji tangazo. Wamiliki wanaweza kulemaza usafiri kwa njia ngumu kuzishika kisheria:
90%+ ya wakazi wa miji wanategemea usafiri wa umma, hata punguzo la nusu kwa wiki linaweza kusimamisha jiji.
- Kupunguza safari (badala ya 8, wanafanya 4)
- Kupunguza saa za kazi (kutoa magari asubuhi tu, au kuchelewa kuingiza magari)
- Kutotoa magari kwa mzunguko β nusu ya magari yanapumzika kila siku, kila baada ya siku moja
Hatari kubwa zaidi β kusambaa sekta nyingine. Hapa ndipo jambo linakuwa la taifa zima. Mgomo wa usafiri ni "kibiriti" tu; mfumuko wa bei ndio "petroli."
- Wafanyakazi wa umma (walimu, wauguzi, polisi wa chini): mishahara ni ileile, lakini nauli + chakula vimepanda. Mtumishi wa mshahara mdogo anaposhindwa kufika kazini na mshahara hauwezi kumudu maisha β madai ya nyongeza ya mshahara β migomo ya kisekta.
- Madereva wa malori/mizigo (cargo): wakijiunga, bandari na usambazaji wa bidhaa unaganda β uhaba β bei zaidi β hasira zaidi. Hii inageuza tatizo la "mijini" kuwa la kitaifa.
- Wakulima: dizeli ya matrekta, umwagiliaji na kusafirisha mazao sokoni inapanda β gharama za uzalishaji wa chakula zinaongezeka β mfumuko unazidi.
- Machinga na biashara ndogo: abiria wakipungua, wateja wanapungua; pembejeo zinapanda. Hawa ni wengi na wepesi kuingia mitaani.
- Boda boda na bajaji: tayari ni sekta ya usafiri β wakijiunga na daladala, hakuna njia mbadala iliyobaki.
Tofauti na migomo ya Madaktari Serikali imewahi kuingiza Madaktari kutoka Jeshini, ila safari hii hakuna idadi ya magari ya jeshi inaweza kupunguza aina ya mgomo huu, zaidi ni kwamba hayo magari hayatumii maji yanatumia mafuta ambayo yamepanda, hata Serikali ikisema ipunguze gharama ya mafuta kwa magari ya Jeshi bado watachochea mgomo wa Wauzaji wa mafuta, kiufupi hili swala la mafuta ni sehemu nzuri ya kuhakikisha utawala wa Samia hautawali.
Tutarajie migomo na mdororo mkubwa wa Uchumi
Fee kwenye petrol zilikuwepo hata wakati wa Kikwete..Mkuu VAT ilishatolewa kitambo kwenye Petrol/ Diesel, receipt ya Fuel Station inasoma 0% VAT
Hizo fee zingine ndio hua sizielewi
Tatizo wamekopa mno na kusema watarudisha kwa kutoza KODI, FEE na LEVY kwa vyanzo hivi hivi vya ndani ndio maana unaona FEE (TOZO) zimekua nyingi MNO
Kubaya ni kwamba sioni sehemu ya KuAdjust mambo yakae sawa
ππππ
Duuh elf 7?Fee kwenye petrol zilikuwepo hata wakati wa Kikwete..
VAT inamsaidia muuzaji sio mnunuzi
Maana yake ni kwamba wenye vituo ndo wanafaidika zaidi sio mwananchi kwa hiyo hakuna kilichopungua waondoe au wapunguze hizo tozo kwa miezi kadhaa ili gharama na ukali wq maisha kwa watu maskini /wanyonge upungue.
Mwanangu alienda mwezi Machi nauli ikiwa elfu 10 leo ni elfu 25. Kuna sehemu lita ya petrol inauzwa elfu 7.