Kugoma ni rahisi sana ni suala la kufundishanaNchi hii siku wananchi wakigundua kuwa kugoma ni rahisi kama kukataa kwenda shule, basi tutatoka haraka sana.
Uzur gharama za maisha hazina itikadi!naunga mkono maandamano ya kisayansi kwa kila mtu kukaa kwakwe na kujifungia ndani na mke wake na si vinginevyo 🐒
Sijawahi kuona ukitoa hoja zozote za maana, huwa nakusoma mtu wa kupinga na kukejeli tu.Nyumbu tena mnataka kuingia road au sijaelewa vizur?
Hii Elimu imekaa poa sana, kumbe Kodi sio hela zetu watu waache kulalamika.
Mkuu asante kwa Elimu hii.
Nisaidie pia kujua na sisi tunaolipa PAYE
2030-2040 Agenda ya taifa ni Dr.Emmanuel John Ncghimbi,Uzur gharama za maisha hazina itikadi!
Hadi 2029 kwa mwendo wa mfumuko wa bei na miundombinu ya barabara kuharibika kabisa...sijui ccm watakuja nan lipi haswa?
Au pyu pyu tenaa? Sidhani!

Malalamiko yako peleka TAMWASijawahi kuona ukitoa hoja zozote za maana, huwa nakusoma mtu wa kupinga na kukejeli tu.
Wakati mwingine si lazima uwe uwe unatoa comment.
Nyie mna stahili muuziwe mafuta mpaka 10000 litaNyumbu tena mnataka kuingia road au sijaelewa vizur?
Sana