Kupanda kwa nauli mara mbili 2023 ilipaswa kumng'oa waziri anayehusika

Kupanda kwa nauli mara mbili 2023 ilipaswa kumng'oa waziri anayehusika

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
1. 2023 nauli zilipanda mara mbili hii ilitakiwa kung'oka na waziri wa uchukuzi.

Nauli zilisetiwa na LATRA kuwanufaisha wenye daladala na Mabus. Kwanini mafuta yakishuka Bei nauli hazishuki Bei?

2. 2023 Ajira za walimu zilitangazwa Tanzania mkoa wa Dar hakuajiriwa mwalimu hâta 1 tamisemi wanasema hakuna uhitaji wa walimu Dar lakini nyuma ya pazia kuna walimu wengi hasa jinsia KE waliajariwa japokua majina yao hayakua kwenye list iliyotolewa
i
Hi ingetakiwa indoke na waziri wa TAMISEMI na cabinet yake

Tunahitaji viongozi wenye mchango unaeleweka kwenye wizara.
 
Back
Top Bottom