Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea


nimekusoma tangu mwanzo wa uzi binafsi nimekuelewa.
Hatuhitaji stori za huyu mtu maarufu tusiyemjua ili kujifunza masuala ya malezi kutoka kwake.
May be my mind is empty somewhere kiasi cha hizi habari kupata nafasi. Tujitafakari.
 
Kwamba Neema hataki kumove on kisa William? Duh hii kali
Nyinyi misukule ya Schadenfreude Mange Kimambi hamuwezi kulijuwa hili, akili zenu kazifungia kabatini, hata akianzisha dhehebu wewe ni sehemu ya kondoo wake.

Chanzo cha mgogoro ni mwanamke kukazwakazwa, na familia ya Mzee Malecela ndio imemfikisha hapo alipo.

Hata jina la Malecela Watoto wanalitumia kwa sababu bado lina influence otherwise hao Watoto wangeitwa Ngwilulupi by now.
 
Hata kama alikuwa hana uwezo wa kutuma fedha angekuwa tu na ukaribu nao kwa kuwasiliana
Ila kwa jinsi hizo sms inaonekana hata namba za madogo alitumiwa na mtu mda sio mrefu
Labda twende mnavyotaka nyinyi, je mtoto hapaswi kumtafuta baba yake na huku akiwa na access nyingi za kuwasiliana na baba yake?

Mtoto mwenye akili akishaona divorce atajuwa kuna tatizo, na mtu aina ya Le Mutuz yupo accessible, je ni lini Watoto zake walimtafuta baba yao ili kujuwa what's goes on?

Siamini kama Le Mutuz ni mjinga kiasi hicho, siyo kweli wengi hamjui upande wa Pili wa shilling.
 
Hapo hata gia ya kwanza ya ndimu sijaanza, tatizo watu tunaishi maisha tofauti sana tunakutana JF.

Naona kama nachanganyika na guluguja.
We mbwiga kweli kweli maisha gani unaongelea ya ajabu sana.
Nishakwambia huko unapaona mbinguni watu wanakuja sana tu kupiga mishe na kusepa.
Na usikute We homeless vilevile.
Acha dharau we mama
 
Bahati mbaya ka niblock😁😁😁anajifanya eti hatoi ushauri kwa watu kwa kuwa hawamuhusu na hawajamuomba ushauri,mbona kaja hapa kumuattack mtoa Uzi huku akitoa ushauri kedekede......mwehu mmoja huyo
Hahaaa, nadhani ndio utakuwa mtu wa kwanza kumshauri na kushindana na Kiranga hadi akakublock. Hongera unastahili kupewa tuzo.

Kimsingi jamaa anavyoandikaga humu na kuleta ubishi kwa kila jambo inaonekana wazi kuwa kuna fyuzi hazipo sawa kichwani. Kwa kuwa ID zetu hazioneshi tuna jinsia gani, nina wasiwasi jamaa anaweza kuwa ndiye yule mdada anayejiitaga Mbuta nanga.
 
Mwambieni role mode wenu Kigagula Schadenfreude Mange Kimambi aachane na maisha ya watu na hutoona sisi hapa kumsakama mtu

Wewe ni sehemu ya wanawake wasiojitambuwa mnaolipia app ya Mange kuumiza watu wengine, huna akili.
Sio follower wa mange hata kidg .ila usimuattack Neema....watoto wale ni wakubwa...mkanye William
 
Mimi sio msukule wa Mange mkuu....
 
Sio kama ninavyotaka mimi nimejaribu kuchangia kutokana na jinsi nilivyosoma na kuelewa ule ujumbe kutoka kwa watoto
Hivi kwenye hili suala anaetakiwa amtafute mwenzake ni nani le mbabaz hajui kama ameacha watoto nje anatakiwa awapatie matunzo hata kwa kuwasiliana tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbuta Nanga Tena wewee!
Kaniudhi alivyowahi niblock maana nilikuwa na hamu nae nilipanga kila nitakapokutana nae nimpe za uso sijui anajihisije yaani,anajimwambafy yaani kuishi huko marekani anahisi kamaliza kila kitu
 
Kwa nini unadhani Neema anastahili kuachwa aendelee na coliation of evil na Schadenfreude Mange Kimambi halafu Le Mutuz ndio akanywe?

Unatumia mantiki gani?
Nayawaza maumivu ya wanae miaka 10 bila kuona simu ya baba...nikajiweka ndo mimi vile nalea peke yangu wanangu mume anahama hama hotel na kupiga pics na maslay queen..ah wap acha dogo atoe sumu zake
 
Kwa nini unadhani Watoto wakubwa hawana wajibu wa kuwasiliana na baba yao?
 
Nayawaza maumivu ya wanae miaka 10 bila kuona simu ya baba...nikajiweka ndo mimi vile nalea peke yangu wanangu mume anahama hama hotel na kupiga pics na maslay queen..ah wap acha dogo atoe sumu zake
Kwa nini unadhani kwa muda wote huo Watoto hawamtafuti wao baba yao? Aliwahi kuwakatia simu?

Napenda mjadala na watu wenye akili siyo mihemko.
 
Yaani wamtafute mzee alowaacha alone na mama tu..unajua walihangaika vipi kufikia hapo?ah wapi dogo yuko sawa tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…