mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wenye jf yao hao [emoji1]Wamerudi wakongwe sasa , juzi tu tuliwaulizia
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye jf yao hao [emoji1]Wamerudi wakongwe sasa , juzi tu tuliwaulizia
Nimekusoma sana toka mwanzo wa huu uzi, naomba nikuulize tu Tatizo lako ni nini??? Kama ni umbea wa mleta uzi, vipi na wewe upo tu hapa na hata hauondoki??? basi mie nadhani wewe ndio mbea uliekubuhu haswaa. Usitujazie thread na upuuzi wako inawezekana kweli una msongo wa mawazo wewe.Sasa unalinganisha posts zangu hapa na umbea wa kuokoteza kwa Mange Kimavi?
Real Gs hawana muda wa kueneza umbea wa kuhusiana na matatizo ya familia za watu wasiowajua.
In the hood you could get smoked for some shit like that.
Kama unajifunza kitu kwangu, jifunze hilo.
Long time MazeeWamerudi wakongwe sasa , juzi tu tuliwaulizia
Field Marshal ES Muzee ya sauti ya umeme ,mutu ya watu!Nakumbuka huu mjadala wa Child support…Ni kama tulitabiri haya yanayotokea sasa kwa bwana FMES…
Nyeee nyeee, boma yeee , boma liwanza le mutuuuz.Field Marshal ES Muzee ya sauti ya umeme ,mutu ya watu!
Mobimba Kokobonga Hahahaa American Spirit Downtown in Manhattan ,NYC.Nyeee nyeee, boma yeee , boma liwanza le mutuuuz.
Ni the best mom....Huyo dada ni mjinga.Sio mama bora
Malafyale kulikoni [emoji23][emoji23][emoji23]Nikupe brand yangu ili iweje kwa mfano? Unifungulie uzi wa umbea JF?
Hapo watu kumjua Kiranga kupitia JF tu shobo kibao, wananiparata kama washawahi kuniona, unataka nikupe brand yangu?
Wakati mimi naongelea umasikini wa jamii nzima, wewe na guluguja wenzako wenye inferiority complex msiojua kusoma kwa ufahamu hamuwezi kuelewa kwa upeo huo wa kuangalia mambo kijamii, unaenda ku focus kwangu mimi mtu mmoja.
Unarudi kule kule nisikotaka mimi, kwenye ubuyu na umbea.
Unathibitisha maneno yangu tu.
Kifupi unajitambua...niko na kijana wa lemutuzVitu vingine vinakasikirisha bruh
Dogo anasema hajawahi kuwasiliana nae for 10yrs yeye mtandaoni ni kutukanana na watu na pics za wanawake tofauti
Hata kama ni mimi ningekuwa tu kama wa kiume ningemwabia just s#&k my d!&£k u blackass nigger
Nilishamjibu swali hili Matola. Nikamwambia nina deconstruct umbea, fitna na unafiki wa Watanzania.Nimekusoma sana toka mwanzo wa huu uzi, naomba nikuulize tu Tatizo lako ni nini??? Kama ni umbea wa mleta uzi, vipi na wewe upo tu hapa na hata hauondoki??? basi mie nadhani wewe ndio mbea uliekubuhu haswaa. Usitujazie thread na upuuzi wako inawezekana kweli una msongo wa mawazo wewe.
Mkuu mbona unamchukia sana huyo ex wife wa Lemutuz? Unahqkika gani alikua malaya?? Hebu mpumzisheUlitaka Baba awajaze Sumu Watoto kwa kuwaambia ukweli mama yenu anakazwa sana ndio maana ndoa imeshindikana?
Mkuu ni wajibu wa Mwanaume yeyote kuhudumia watoto wake, hata kama upo Tanzania na familia ipo Canada ni lazima ubebe jukumu lako Kama Baba.Le mutuz nafikiri alishindwa kuishi marekani labda kwa sababu ya kipato na kuja kuishi shithole countries (usemi WA Trump).Mimi sijawahi ona mtu ambaye maisha yamemshinda tayari huko ughaibuni kutuma pesa Toka Africa kwenda marekani.Nimezoea kuona viceversa.Au uliposema kuhudumia familia ulikuwa na maana Gani?Haihusiani na mpunga?
Bala is always here......Long time Mazee
Chief you're too theoretical.Toka lini pesa ikatumwa Toka Africa kwenda Marekani?Labda uwe na pesa kama Mo Dewji au fisadi Fulani la EPA!Mkuu ni wajibu wa Mwanaume yeyote kuhudumia watoto wake, hata kama upo Tanzania na familia ipo Canada ni lazima ubebe jukumu lako Kama Baba.
Mimi hadi watoto wangu kwa Mchepuko nawahudumia sembuse wa ndani ya Ndoa?
I agree wanawake wa kinyaki ni wapambanaji sana...Mwanamke wa kinyakyusa ni mchakalikaji kwenye biashara tofauti na wanaume wao mabosi, wao ni wakulima wazuri sana ndio wanaoifanya Tukuyu na Kyela kuonekane kama bustani ya maua, bahati mbaya haujafika huko. Wanawake hao ndio wafanyabiashara wakubwa kati ya Tanzania, Zambia na Malawi hasa kusafirisha mchele unaoitwa Kilombero unaopendwa sana huko kusini. Mimi nsona wewe unazungumzia huyo wa Kinondoni ambaye hata kwao hakujui kama ulivyo wewe.
Kwamba Neema hataki kumove on kisa William? Duh hii kaliLakini Neema siyo single Mother, alishaolewa lakini hataki kumove on.
Kuna vitu mnachekesha tu, licha ya vituko vyote yani mwanamke na kazi yako utegemee child support kutoka Kwa blogger Bongo?
Wengi mmenyimwa ufahamu kwenye issue hii, mtu anakimbia Marekani kuja kuwa blogger Bongo siyo jambo la kawaida.
Mwambieni role mode wenu Kigagula Schadenfreude Mange Kimambi aachane na maisha ya watu na hutoona sisi hapa kumsakama mtuMkuu mbona unamchukia sana huyo ex wife wa Lemutuz? Unahqkika gani alikua malaya?? Hebu mpumzishe
Hata kama alikuwa hana uwezo wa kutuma fedha angekuwa tu na ukaribu nao kwa kuwasilianaChief you're too theoretic .Toka lini pesa ikatumwa Toka Africa kwenda Marekani?Labda uwe na pesa kama Mo Dewji au fisadi Fulani la EPA!
Mama Samiah mwenyewe kutwakucha kwenda kuhemea huko mamtoni!
Acha theories za mafundisho ya ndoa huko makanisani kwenu!
Kuna watu humu ukiwaita wajinga wataona umewatukana, lakini ukweli ni wajinga na hawaba akili.Chief you're too theoretic .Toka lini pesa ikatumwa Toka Africa kwenda Marekani?Labda uwe na pesa kama Mo Dewji au fisadi Fulani la EPA!
Mama Samiah mwenyewe kutwakucha kwenda kuhemea huko mamtoni!
Acha theories za mafundisho ya ndoa huko makanisani kwenu!