Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Sasa unalinganisha posts zangu hapa na umbea wa kuokoteza kwa Mange Kimavi?

Real Gs hawana muda wa kueneza umbea wa kuhusiana na matatizo ya familia za watu wasiowajua.

In the hood you could get smoked for some shit like that.

Kama unajifunza kitu kwangu, jifunze hilo.
Nimekusoma sana toka mwanzo wa huu uzi, naomba nikuulize tu Tatizo lako ni nini??? Kama ni umbea wa mleta uzi, vipi na wewe upo tu hapa na hata hauondoki??? basi mie nadhani wewe ndio mbea uliekubuhu haswaa. Usitujazie thread na upuuzi wako inawezekana kweli una msongo wa mawazo wewe.
 
Huyu Neema ata pata shida mpaka ata kuja kumwomba kwa kumpigia magoti le mutuz walahi nasema![emoji31][emoji31][emoji31]
Mwenye Enzi Mungu akutie amani William, uwa ombee hao watoto wako wala usiwa chukie wasije pata majanga walahi[emoji31]
Imeniuma sana, yaani haiendi hivyo!
 
Nikupe brand yangu ili iweje kwa mfano? Unifungulie uzi wa umbea JF?

Hapo watu kumjua Kiranga kupitia JF tu shobo kibao, wananiparata kama washawahi kuniona, unataka nikupe brand yangu?

Wakati mimi naongelea umasikini wa jamii nzima, wewe na guluguja wenzako wenye inferiority complex msiojua kusoma kwa ufahamu hamuwezi kuelewa kwa upeo huo wa kuangalia mambo kijamii, unaenda ku focus kwangu mimi mtu mmoja.

Unarudi kule kule nisikotaka mimi, kwenye ubuyu na umbea.

Unathibitisha maneno yangu tu.
Malafyale kulikoni [emoji23][emoji23][emoji23]

Pole
 
Vitu vingine vinakasikirisha bruh
Dogo anasema hajawahi kuwasiliana nae for 10yrs yeye mtandaoni ni kutukanana na watu na pics za wanawake tofauti
Hata kama ni mimi ningekuwa tu kama wa kiume ningemwabia just s#&k my d!&£k u blackass nigger
Kifupi unajitambua...niko na kijana wa lemutuz
 
Nimekusoma sana toka mwanzo wa huu uzi, naomba nikuulize tu Tatizo lako ni nini??? Kama ni umbea wa mleta uzi, vipi na wewe upo tu hapa na hata hauondoki??? basi mie nadhani wewe ndio mbea uliekubuhu haswaa. Usitujazie thread na upuuzi wako inawezekana kweli una msongo wa mawazo wewe.
Nilishamjibu swali hili Matola. Nikamwambia nina deconstruct umbea, fitna na unafiki wa Watanzania.

Mkuu unataka niondoke au unataka nikujibu?

Maana nikikujibu nakuwa sijaondoka, na nikiondoka nitakuwa sijakujibu.

Nilishasema nimemaliza yote ninayotaka kusema katika uzi huu kitambo.

Ila, watu kama wewe mnaoninukuu na kuniuliza ndio mnanirudisha hapa.

Nakuwa nina conflict kati ya principle yangu ya kusema siachi kumjibu mtu na msimamo wangu kwamba nishamaliza kusema ninayotaka.

Ila sasa naona niondoke kimoja, kwa sababu nishajieleza mpaka kwenye hii conflict.

So, I'm done.

Nikikosa kumjibu yeyote mwingine atakayeninukuu na kuniuliza, sababu ndiyo hii.

One.
 
Le mutuz nafikiri alishindwa kuishi marekani labda kwa sababu ya kipato na kuja kuishi shithole countries (usemi WA Trump).Mimi sijawahi ona mtu ambaye maisha yamemshinda tayari huko ughaibuni kutuma pesa Toka Africa kwenda marekani.Nimezoea kuona viceversa.Au uliposema kuhudumia familia ulikuwa na maana Gani?Haihusiani na mpunga?
Mkuu ni wajibu wa Mwanaume yeyote kuhudumia watoto wake, hata kama upo Tanzania na familia ipo Canada ni lazima ubebe jukumu lako Kama Baba.

Mimi hadi watoto wangu kwa Mchepuko nawahudumia sembuse wa ndani ya Ndoa?
 
Mkuu ni wajibu wa Mwanaume yeyote kuhudumia watoto wake, hata kama upo Tanzania na familia ipo Canada ni lazima ubebe jukumu lako Kama Baba.

Mimi hadi watoto wangu kwa Mchepuko nawahudumia sembuse wa ndani ya Ndoa?
Chief you're too theoretical.Toka lini pesa ikatumwa Toka Africa kwenda Marekani?Labda uwe na pesa kama Mo Dewji au fisadi Fulani la EPA!
Mama Samiah mwenyewe kutwakucha kwenda kuhemea huko mamtoni!Kitendo Cha Le Mutuz kurudi Afrika ,familia yake ilitakiwa kuelewa kwamba baba Yao ameshachacha.Wao ndio walitakiwa wamsupport Toka Marekani na sio yeye.
Acha theories za mafundisho ya ndoa huko makanisani kwenu!
 
Mwanamke wa kinyakyusa ni mchakalikaji kwenye biashara tofauti na wanaume wao mabosi, wao ni wakulima wazuri sana ndio wanaoifanya Tukuyu na Kyela kuonekane kama bustani ya maua, bahati mbaya haujafika huko. Wanawake hao ndio wafanyabiashara wakubwa kati ya Tanzania, Zambia na Malawi hasa kusafirisha mchele unaoitwa Kilombero unaopendwa sana huko kusini. Mimi nsona wewe unazungumzia huyo wa Kinondoni ambaye hata kwao hakujui kama ulivyo wewe.
I agree wanawake wa kinyaki ni wapambanaji sana...
 
Lakini Neema siyo single Mother, alishaolewa lakini hataki kumove on.

Kuna vitu mnachekesha tu, licha ya vituko vyote yani mwanamke na kazi yako utegemee child support kutoka Kwa blogger Bongo?

Wengi mmenyimwa ufahamu kwenye issue hii, mtu anakimbia Marekani kuja kuwa blogger Bongo siyo jambo la kawaida.
Kwamba Neema hataki kumove on kisa William? Duh hii kali
 
Mkuu mbona unamchukia sana huyo ex wife wa Lemutuz? Unahqkika gani alikua malaya?? Hebu mpumzishe
Mwambieni role mode wenu Kigagula Schadenfreude Mange Kimambi aachane na maisha ya watu na hutoona sisi hapa kumsakama mtu

Wewe ni sehemu ya wanawake wasiojitambuwa mnaolipia app ya Mange kuumiza watu wengine, huna akili.
 
Chief you're too theoretic .Toka lini pesa ikatumwa Toka Africa kwenda Marekani?Labda uwe na pesa kama Mo Dewji au fisadi Fulani la EPA!
Mama Samiah mwenyewe kutwakucha kwenda kuhemea huko mamtoni!
Acha theories za mafundisho ya ndoa huko makanisani kwenu!
Hata kama alikuwa hana uwezo wa kutuma fedha angekuwa tu na ukaribu nao kwa kuwasiliana
Ila kwa jinsi hizo sms inaonekana hata namba za madogo alitumiwa na mtu mda sio mrefu
 
Chief you're too theoretic .Toka lini pesa ikatumwa Toka Africa kwenda Marekani?Labda uwe na pesa kama Mo Dewji au fisadi Fulani la EPA!
Mama Samiah mwenyewe kutwakucha kwenda kuhemea huko mamtoni!
Acha theories za mafundisho ya ndoa huko makanisani kwenu!
Kuna watu humu ukiwaita wajinga wataona umewatukana, lakini ukweli ni wajinga na hawaba akili.

Yani huyu Le Mutuz anayeishi maisha ya uchawa eti usene atume child support Marekani ni ukosefu wa akili tu na si kitu kingine.

Wakati mwanamke analazimisha divorce target yake ilikuwa Le Mutuz akiishi Marekani pesa nyingi zitakwenda kwake kwa sababu ndio mwenye haki ya custodian ya Watoto, alichoosahau huyo demu Le Mutuz ni Baharia michezo yote anaijuwa amesalender Marekani yupo huru Tanzania Hakuna mamlaka yoyote ya Tanzania kumkata pesa popote kupeleka kwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom