Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.

Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.

Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.

Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?

Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?

Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.

Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.

Nimemaliza.
Yaani mtoto anamuambia Baba yake asaki diki la mtoto, yaani william asaki diki la kijana wake? Yaani Le mutuz asaki?
 
Mama Kufanya kazi taasisi flani hakumuondolei baba jukumu la kulea wanawe. Halafu kilichomshinda baba kutumia hiyo influence na yeye afanye kazi ni nini?
Acheni umarioooo
Unaona sasa? hapa unaandika hata kitu usichokijuwa ndio maana Mange amewashika vilivyo, kumbe huelewi lolote hata tatizo liko wapi.
 
Siamini kama ni mshamba, nadhani ni drama zake tu kumuumiza Neema.

Baharia ametembea karibu dunia nzima, hao mademu anaopiga nao Picha wana maajabu gani?

Cc; field marshall1
Hata kama ni kumuumiza, hebu fikiria mkuu yule mzee ni mgonjwa lkn kutwa ana badili malaya.

Kama ni kumuumiza angetafuta piskali moja akawa anakula nayo maisha sio lazima kuoa mbona angemuumiza pia.

Sasa yeye mgongw na malaya tofauti tofaut na wengine walimpiga picha yupp utupu wakamtumia mange!!

Kwa umri wake anadhalilisha kutukanana
 
Yaani mtoto anamuambia Baba yake asaki diki la mtoto, yaani william asaki diki la kijana wake?
Watoto wa New York hao. Wako dunia tofauti na Watanzania wengi.

Mimi ndiyo maana nawaona kama mnajiumiza vichwa bure tu kwa mambo msiyoyaelewa, ya familia zisizowahusu kwenye shauri ambalo hamjaombwa maoni.
 
General rule ni kwamba maisha ya watu maarufu yakija public lazima yaongelewe. Ni kila mahali
Hegelian dialectic requires thesis, antithesis and synthesis.

Hatuwezi kusimama na general rule moja miaka yote.

Sasa hivi wasomi wanaoangalia social media wanaona moja ya kitu kinachojaza watu ujinga wa kukosa kufuatilia mambo yao ya msingi ni celebrity worship.

Na hapa kwa njia moja au nyingine, kwa kujua au kutojua, mnafanya celebrity worship.

Mnamsujudia Le Mutuz kwa namna moja au nyingine.

Yani hata kumchamba ni kumpa attention, na hilo pia ni aina ya kumsujudia.

Attention is the currency of social media.

Kuna mtu tayari kashaomba maisha ya Le Mutuz ayasome. Mwenzenu anaongeza followers huko.

Mna uhuru wa kufanya mnavyotaka, mimi naweka mawazo mbadala tu.

I am deconstructing this hidden celebrity worship.
 
Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.

Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
Dogo unyamwezi umekuwa mwingi 😄
 
Hegelian dialectic requires thesis, antithesis and synthesis.

Hatuwezi kusimama na general rule moja miaka yote.

Sasa hivi wasomi wanaoangalia social media wanaona moja ya kitu kinachojaza watu ujinga wa kukosa kufuatilia mambo yao ya msingi ni celebrity worship.

Na hapa kwa njia moja au nyingine, kwa kujua au kutojua, mnafanya celebrity worship.

Mnamsujudia Le Mutuz kwa namna moja au nyingine.

Yani hata kumchamba ni kumpa attention, na hilo pia ni aina ya kumsujudia.

Attention is the currency of social media.

Kuna mtu tayari kashaomba maisha ya Le Mutuz ayasome. Mwenzenu anaongeza followers huko.

Mna uhuru wa kufanya mnavyotaka, mimi naweka mawazo mbadala tu.

I am deconstructing this hidden celebrity worship.
Halafu na wewe tuko wote kwenye huu Uzi kwa masaa sasa, yani in short umenogewa.
 
Back
Top Bottom