Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.

Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.

Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.

Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?

Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?

Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.

Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.

View attachment 2590739

Nimemaliza.
Hii ndiyo furaha ya Mange kugombanisha watu huku watu wakimuongela yeye. Mange ni mwanamke aliyelaanika, ana wivu na wenzake na hapendi kuona wenzake wana furaha kwa sababu yeye mwenyewe hana hiyo furaha na HAKUNA mwanamme anayemtaka zaidi ya wazungu waliochoka. Ukiangalia kiundani utagundua karibu ya wanawake ama watu wengi wanaoshirikiana na Mange ni wale walio na matatizo, hawana furaha maishani.
 
Yaani anakubalika sana tu akikaa kwenye Nondo za kueleweka Sasa akianzaga mapichaPicha kusutana na wauza bar mara mange mara niko mara 5 star hotel mabebez ( vichangu vya kawaida tu)
ndio dooh unaona huyu dishi lishaibiwa😁🙆‍♂️,
Watoto hawa siku hizi tupoo nao humu mtandaoni wanasoma kila kitu sasa wajue we baba yao kiazi namna ile ndio unapewa maneno yale ya hovyo.
Ni Mama yao ndiyo anakuwa anawaonyesha watoto wake na kumsema vibaya baba yao.
 
Hiyo situation wanaume tunapitia kila leo sa ingine unakausha tu wajijue wenyewe ndo nilifanya,
wako wa3 kabila tofauti na singo maza wao sikilizia mziki wake.

Hizo mahakama za child support wengine imekua km sehemu za kupiga story tu,
maana utaitwa daily unapiga fix unatimua
 
Yaani anakubalika sana tu akikaa kwenye Nondo za kueleweka Sasa akianzaga mapichaPicha kusutana na wauza bar mara mange mara niko mara 5 star hotel mabebez ( vichangu vya kawaida tu)
ndio dooh unaona huyu dishi lishaibiwa[emoji16][emoji2297],
Watoto hawa siku hizi tupoo nao humu mtandaoni wanasoma kila kitu sasa wajue we baba yao kiazi namna ile ndio unapewa maneno yale ya hovyo.
Dishi lishaibiwa[emoji38] Ila jamaa ni AKILI KUBWA Sana basi tu haya yanayomsibu namkumbuka sana Mario Baloteli
 
Hii ndiyo furaha ya Mange kugombanisha watu huku watu wakimuongela yeye. Mange ni mwanamke aliyelaanika, ana wivu na wenzake na hapendi kuona wenzake wana furaha kwa sababu yeye mwenyewe hana hiyo furaha na HAKUNA mwanamme anayemtaka zaidi ya wazungu waliochoka. Ukiangalia kiundani utagundua karibu ya wanawake ama watu wengi wanaoshirikiana na Mange ni wale walio na matatizo, hawana furaha maishani.
Kwa kifupi tu ni kwamba huyo Schadenfreude Mange Kimambi and Co, ni coliation of fools.
 
Yaani anakubalika sana tu akikaa kwenye Nondo za kueleweka Sasa akianzaga mapichaPicha kusutana na wauza bar mara mange mara niko mara 5 star hotel mabebez ( vichangu vya kawaida tu)
ndio dooh unaona huyu dishi lishaibiwa😁🙆‍♂️,
Watoto hawa siku hizi tupoo nao humu mtandaoni wanasoma kila kitu sasa wajue we baba yao kiazi namna ile ndio unapewa maneno yale ya hovyo.
Ukimuweka Field Marshall Es na Le Mutuz leo wanaweza wakapigana ngumi wenyewe wakati ni mtu mmoja, haya maisha kweli asiyekujuwa hakuthamini kabisa.

Ukiita shindano la Best IQ tangu kuanzishwa kwa JF kwenye tatu bora huwezi kumkosa Le Mutuz wa zamani.
 
Hii ndiyo furaha ya Mange kugombanisha watu huku watu wakimuongela yeye. Mange ni mwanamke aliyelaanika, ana wivu na wenzake na hapendi kuona wenzake wana furaha kwa sababu yeye mwenyewe hana hiyo furaha na HAKUNA mwanamme anayemtaka zaidi ya wazungu waliochoka. Ukiangalia kiundani utagundua karibu ya wanawake ama watu wengi wanaoshirikiana na Mange ni wale walio na matatizo, hawana furaha maishani.
Mange kiukweli sio binadamu wa kawaida. Kwa alipofikia tuseme tu lile ni housing tu kwa nje ila ndani hakuna binadamu kuna ibilisi. Kila anachopost ni kwa nia ya kuumiza watu. Hata kama App yake itamletea mabilioni ni kazi bure kama hana furaha wala uhuru. Raha ya hela ni kujenga kwenu. Sasa Mange hawezi kamwe tena kurudi bongo kufanya maendeleo.
 
Hayuko sawa kichwani
Yule ni sadist tu

Ova
 
Ila le mubebez amapaswa kubadilika sana. Ni mgonjwa yule lkn kila siku kujisifia yupo five star hotel namadem tofauti!

Kila siku ana madem tofauti na lazima awapige picha na kuwaleta insta kutamba!! Sijui anawalipa bei gn anawalala na kuwapiga picha wanakubali

Hivi mtu mwenye ugonjwa kama wake na umri huo ni wakuhangaika na madem kweli? Kila siku kujisifu yupo five star na mademu!!

Sina chuki nae ila inashangaza sana huyu mzee anazeeka vibaya

Si uchi wake jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ote ao wapumbavu kuanzia baba,mama mpaka mtoto ila mtoto ndo mpumbavu zaid mshenzi yan asiejali. Ila mwambie maisha yanamwisho tena yanabadilika isije akajuta uko mbelen wakati mamaake ayupo baba ake ndo kamtukana kamaivyo akabaki pekeake ulimwenguni apa

Brother laana zipo ata uko alipo anaweza ishia kua msenge ama mla ngada dunia ni kitendawili sana aombe mwisho mwema uyo dogo
 
Mange kiukweli sio binadamu wa kawaida. Kwa alipofikia tuseme tu lile ni housing tu kwa nje ila ndani hakuna binadamu kuna ibilisi. Kila anachopost ni kwa nia ya kuumiza watu. Hata kama App yake itamletea mabilioni ni kazi bure kama hana furaha wala uhuru. Raha ya hela ni kujenga kwenu. Sasa Mange hawezi kamwe tena kurudi bongo kufanya maendeleo.
Sasa hivi yuko bize kutetea ushoga, wale watetezi wa Mange ndio waijuwe takataka yao wanayoitetea ilivyo zaidi ya shetani.
 
Hivi huyu Mange ameshindikana kweli kwa wabongo?? maana anavuruga sana sana maisha ya watu. Hebu wabongo tafuteni dollars mtupe tumfanyie kazi huyu pimbi na iwe mwisho wake,.
Wasingemfatilia wala asingepata kik

Tatizo watu wanamfatilia na maumbea yake,mtu yuko marekani
Amatumiwa stori yeye anajaza mauwongo yake kunogesha stori
Aliyotumiwa

Ova
 
Mange kiukweli sio binadamu wa kawaida. Kwa alipofikia tuseme tu lile ni housing tu kwa nje ila ndani hakuna binadamu kuna ibilisi. Kila anachopost ni kwa nia ya kuumiza watu. Hata kama App yake itamletea mabilioni ni kazi bure kama hana furaha wala uhuru. Raha ya hela ni kujenga kwenu. Sasa Mange hawezi kamwe tena kurudi bongo kufanya maendeleo.
Subiri ifike 2025, utamsikia anawahamasisha wafuasi wake waingie mitaani kuandamana huku yeye akiwa Marekani anachungulia na kuwacheka. Demu hana akili, starehe yake ni kuona watu wanahangaika na kuhaha tu.
 
Back
Top Bottom