Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Acha upumbavu na mifano ya kijinga
 
Wewe akili yako haina akili
 
Na sisi tunapiga hapa hapa.. hata akiiba lakini ajue kuna watu hakuwa tendea vizuri
Either now or never in the next 5 yrs. Jamaa haombi tena kipindi cha tatu, hiki ndo kipindi cha mwisho, kwa hiyo hana cha kupoteza wala kuhofia.
 
Huu uzi ni maalum kwa watumishi wa uma. We meneja wa bar endelea kupambana na mabaamedi wako
 
Hasira ni kali.
 
Watanya kazi ambao wameendelea kulipwa hata kipindi cha korona mnataka kikao kipi tena wapendwa?

Kuna nchi kibao zilishindwa, kuweni waungwana, JPM anatosha

Yawezekana kile kigugumizi cha kutokuongeza mishara Mbele yake kumbe kulikuwa na Janga ambalo pengine ingelimlazimu ashushe tena Viwango vya mishara, zuri ni lipi hapo
 
Wafanyakazi wa Tanzania si wasahaulifu kiasi hiki, hawawezi kuwa wamesahau kile kipindi cha kudai stahiki zako mpaka unakufa hujapata. Anakuja mtoto wako mrithi anadai. Naye anadai anazeeka ana kufa. Mjukuu ndio kukutana na awamu ya JPM analipwa.

Wafanyakazi walikuwa wanafanyakazi bila kupandishwa cheo miaka zaidi ya 10. Haiwezekani leo wawe wamesahau, tafuta chengine kutoa kasoro zako si hiki cha wafanyakazi.
 
Taja nchi iliuo shindwa kulipa mishahara.. hata huko afghastan wafanyakazi wamelipwa wakati wa corona na madaraja wamepandishwa.
 
Matope kama tope zingine! Kununua ndege ndiyo kujenga nyumba?? Hii hela iliyotumika kununua ndege ni sawa na kufukia chini ziliwe na mchwa!
 
Eti mimi nilienda kujiendeleza kielimu na kwa hela zangu ambazo kisheria mwajiri alitakiwa anilipie. Nimemaliza nikitarajia kurudi na kupanda daraja ili nipunguze gharama nilizosomea. Nimefika kwa HRO ananiambia subiri mpaka miaka mitatu ipite ili kulipizia kipindi ambacho nilikuwa masomoni. Miaka ya nyuma mtu upo masomoni madaraja yanasonga kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…