Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Asubiri aone maajabu ya kwenye box
Tutakutana kwenye ballot box
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakutana kwenye ballot box
Kwahiyo wewe unaweza kumkataa Baba ako kisa ameamua ndani ya nyumba mle Ugali tembele au ugali maharage ili hela ambayo angewanunulia nyama ya Kuku au ng'ombe ameamua kuwajengea nyumba nzuri ya tofali na bati ili muachane na nyumba ya udongo na manyasi...?
ha ha ha ha... bavicha mna matatizo sana. Anaandika mmoja alaf mnaanza kukomenti wenyewe..
Ni kweli hatujapanda madaraja,
ni kweli mishahara haijapanda,
lakini pesa ambayo tungeongezewa tunaona inavyotumika kwa mambo ya msingi kabisa kwa maendeleo endelevu ya inch yetu.
Nyie endeleeni kujidanganya.. hakuna mtu wa kumzidi magu.
Either now or never in the next 5 yrs. Jamaa haombi tena kipindi cha tatu, hiki ndo kipindi cha mwisho, kwa hiyo hana cha kupoteza wala kuhofia.
Huu uzi ni maalum kwa watumishi wa uma. We meneja wa bar endelea kupambana na mabaamedi wakoKwahiyo wewe unaweza kumkataa Baba ako kisa ameamua ndani ya nyumba mle Ugali tembele au ugali maharage ili hela ambayo angewanunulia nyama ya Kuku au ng'ombe ameamua kuwajengea nyumba nzuri ya tofali na bati ili muachane na nyumba ya udongo na manyasi...?
Hasira ni kali.Kikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yetu.
Awamu ya tano imeweka rekodi ya kutunyima kupanda madaraja na mishahara tena kwa dharau.
Kura zeru zinatosha kupeleka ujumbe kwamba sisi pia ni binadamu.
Wao wanapesa hadi za kugawa mitaani, na kununua jogoo kwa laki moja lakini swala la mishahara yetu linaonekana ni la kipuuzi.
Agenda.
1. Wafanyakazi wa umma kwenda kupiga kura.. Hamasa.
2. Kukataa jina la mtu jeuri asiye thamini wafanyakazi wa umma.
3. Mengineyo.
Karibu mwenyekiti na wajumbe kikao kimefunguliwa.
View attachment 1530815
Mbona wao wana nunua kuku wa laki moja wakati sisi hadi pesa ya chumvi hatuna.[emoji111][emoji1]
Braza usibishe kila jambo hasa usilolijua.TRA ya Burundi labda. TRA hakuna kitu kama hicho
Watanya kazi ambao wameendelea kulipwa hata kipindi cha korona mnataka kikao kipi tena wapendwa?
Kuna nchi kibao zilishindwa, kuweni waungwana, JPM anatosha
Yawezekana kile kigugumizi cha kutokuongeza mishara Mbele yake kumbe kulikuwa na Janga ambalo pengine ingelimlazimu ashushe tena Viwango vya mishara, zuri ni lipi hapo
Are you mad?Ipende nchi yako kwanza hizo ela zenu ndo zinajenga nchi
Wanatutukana kwa kauli zao. " Anayetoka chumbani kwa mama yako na taulo ndiye baba yako" Tuwanyooshe #NI YEYE.
Matope kama tope zingine! Kununua ndege ndiyo kujenga nyumba?? Hii hela iliyotumika kununua ndege ni sawa na kufukia chini ziliwe na mchwa!Kwahiyo wewe unaweza kumkataa Baba ako kisa ameamua ndani ya nyumba mle Ugali tembele au ugali maharage ili hela ambayo angewanunulia nyama ya Kuku au ng'ombe ameamua kuwajengea nyumba nzuri ya tofali na bati ili muachane na nyumba ya udongo na manyasi...?