Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

xx
 
"Ongeza sauti" tuonane October 28.
 
Waendeelee kuiona kijani kolea,, wachague mtu sahihi
 
Hatari sana kwa watumishi,uonevu uliokithiri.
Watu mara ya mwisho 2015 walipopanda hadi sasa bila bila!!
Visingizio kadha wa kadha,hakuna kinachofanyika,siku zinaenda.
 
Reactions: BAK
Huu ni upotoshaji mkuu, yawezekana Mwandishi hauna taarifa au umedandanywa na unachokisndika haukielewi vyema.
Kupanda madaraja kwa watumishi kumefanyika karibia katika kila mwezi na wahusika kubadilishiwa mishahara.
Kusema Mwaka huu Utumishi wapo kimya ulitaka wafanyeje?. Kupanda daraja ni siri ya mwajiriwa na mwajiri wake. Kama upandaji wako umekwama, mwone afisa utumishi wako akutatulie
Sio kweli kwamba mishahara haijaongezeka, kuna staili nyingi za kuongeza mishahara. Hii ya kupunguza kodi ni mojawapo ambapo imezuia tabia za wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa Mara tu wasikiapo mishahara imepanda. Kweli take home ya mshahara wako haijaongezeka mwaka huu?. Acha upotoshaji.
 
Humu bosi wako yumo!!..
Maandishi yako.. vile umemalizia.. ni umeandika ujijuavyo kiupinzani.
Na umetunga mengi.. acha kudandia hao.. wanaoenda kumpatia Magufuli kura 💯

Una lingine? Isiwe uwongo tu tena..
 
Mbuzi wa ndafu ww. Unaongea mashudu.
 
Hivi mwanangu umevuta cha arusha siyo,acha kudhihaki watu ndugu yangu!Haipendezi kuwapa watu matusi ya rejareja na Mungu hapendi!
 
Reactions: BAK
Mleta hoja ana mantiki,utakuwa hujamwelewa kwa bahati mbaya au makusudi.
Waliopanda mara ya mwisho 2015 hawajapandishwa tena,ni miaka mitano sasa toka wapande daraja.
Usipopandisha daraja unakwamisha mambo mengi sana kwa mtumishi.
 
Reactions: BAK
Msukulle wa JPM wewe umekurupuka uko unakuja kutapika kama umekatwa kichwa
 
Humu bosi wako yumo!!..
Maandishi yako.. vile umemalizia.. ni umeandika ujijuavyo kiupinzani.
Na umetunga mengi.. acha kudandia hao.. wanaoenda kumpatia Magufuli kura [emoji817]

Una lingine? Isiwe uwongo tu tena..
Kajifunze kiswahili kwanza
 
Una uhakika?
Wakati wilayani kwetu walimu walioajiriwa 2000 mpaka leo wanalisikia tu daraja ndugu?
Acha utani na maslahi ya watu,mpaka leo mwalimu yupo tgts b1 aloanzia nayo kazi.
 
Mleta hoja ana mantiki,utakuwa hujamwelewa kwa bahati mbaya au makusudi.
Waliopanda mara ya mwisho 2015 hawajapandishwa tena,ni miaka mitano sasa toka wapande daraja.
Usipopandisha daraja unakwamisha mambo mengi sana kwa mtumishi.
wapo walo pandishwa madaraja mwaka 2013 wakaja pandishwa mwaka jana so kwa hao wa 2015 wasubiri 2021 so sad!!!
 
Nyanoko..

#MaendeleoHayanaChama
 
Iwekyana kaly'empali.Olikitumbafu.kwani kewaugamba amazima bakukoma??
Ekikozilwe bapunguize amakato kyonka taliwo incrment nkokwesheria zikugamba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…