Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
xxWatumishi wa umma wamekuwa wanaulizana na mwaka huu hawatapanda madaraja mbona kimya sana?
Licha ya mwaka jana wengine kupanda na wengine kuachwa kigezo cha masomoni wanashangaa tena mwaka huu serikali kupitia wizara ya utumishi wapo kimya.
Kupanda daraja ni haki ya mtumishi na kwa mjibu wa sheria za utumishi wa umma,kutopandishwa kwa wakati ni kuwanyima watumishi haki zao na kuwavunja moyo na mbaya zaidi kwa watumishi ambao wanaenda kustafu kupunjwa malipo yao kwa kutopandishwa madaraja.
Waliokuwa masomoni wanalalama hawakupanda madaraja, waliopo kazini wanalalama, wakulima wanalalama, wafanyabiashara wanalalama, wazabuni wanalalama, wanaohitimu wanalalama hakuna ajira.
Serikali hii haijamsaidia mtu yoyote Tanzania
"Ongeza sauti" tuonane October 28.Watumishi wa umma wamekuwa wanaulizana na mwaka huu hawatapanda madaraja mbona kimya sana?
Licha ya mwaka jana wengine kupanda na wengine kuachwa kigezo cha masomoni wanashangaa tena mwaka huu serikali kupitia wizara ya utumishi wapo kimya.
Kupanda daraja ni haki ya mtumishi na kwa mjibu wa sheria za utumishi wa umma,kutopandishwa kwa wakati ni kuwanyima watumishi haki zao na kuwavunja moyo na mbaya zaidi kwa watumishi ambao wanaenda kustafu kupunjwa malipo yao kwa kutopandishwa madaraja.
Waliokuwa masomoni wanalalama hawakupanda madaraja, waliopo kazini wanalalama, wakulima wanalalama, wafanyabiashara wanalalama, wazabuni wanalalama, wanaohitimu wanalalama hakuna ajira.
Serikali hii haijamsaidia mtu yoyote Tanzania
Waendeelee kuiona kijani kolea,, wachague mtu sahihiWatumishi wa umma wamekuwa wanaulizana na mwaka huu hawatapanda madaraja mbona kimya sana?
Licha ya mwaka jana wengine kupanda na wengine kuachwa kigezo cha masomoni wanashangaa tena mwaka huu serikali kupitia wizara ya utumishi wapo kimya.
Kupanda daraja ni haki ya mtumishi na kwa mjibu wa sheria za utumishi wa umma,kutopandishwa kwa wakati ni kuwanyima watumishi haki zao na kuwavunja moyo na mbaya zaidi kwa watumishi ambao wanaenda kustafu kupunjwa malipo yao kwa kutopandishwa madaraja.
Waliokuwa masomoni wanalalama hawakupanda madaraja, waliopo kazini wanalalama, wakulima wanalalama, wafanyabiashara wanalalama, wazabuni wanalalama, wanaohitimu wanalalama hakuna ajira.
Serikali hii haijamsaidia mtu yoyote Tanzania
Duh!"Ongeza sauti" tuonane October 28.
Huu ni upotoshaji mkuu, yawezekana Mwandishi hauna taarifa au umedandanywa na unachokisndika haukielewi vyema.Watumishi wa umma wamekuwa wanaulizana na mwaka huu hawatapanda madaraja mbona kimya sana?
Licha ya mwaka jana wengine kupanda na wengine kuachwa kigezo cha masomoni wanashangaa tena mwaka huu serikali kupitia wizara ya utumishi wapo kimya.
Kupanda daraja ni haki ya mtumishi na kwa mjibu wa sheria za utumishi wa umma,kutopandishwa kwa wakati ni kuwanyima watumishi haki zao na kuwavunja moyo na mbaya zaidi kwa watumishi ambao wanaenda kustafu kupunjwa malipo yao kwa kutopandishwa madaraja.
Waliokuwa masomoni wanalalama hawakupanda madaraja, waliopo kazini wanalalama, wakulima wanalalama, wafanyabiashara wanalalama, wazabuni wanalalama, wanaohitimu wanalalama hakuna ajira.
Serikali hii haijamsaidia mtu yoyote Tanzania
Mbuzi wa ndafu ww. Unaongea mashudu.Huu ni upotoshaji mkuu, yawezekana Mwandishi hauna taarifa au umedandanywa na unachokisndika haukielewi vyema.
Kupanda madaraja kwa watumishi kumefanyika karibia katika kila mwezi na wahusika kubadilishiwa mishahara.
Kusema Mwaka huu Utumishi wapo kimya ulitaka wafanyeje?. Kupanda daraja ni siri ya mwajiriwa na mwajiri wake. Kama upandaji wako umekwama, mwone afisa utumishi wako akutatulie
Sio kweli kwamba mishahara haijaongezeka, kuna staili nyingi za kuongeza mishahara. Hii ya kupunguza kodi ni mojawapo ambapo imezuia tabia za wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa Mara tu wasikiapo mishahara imepanda. Kweli take home ya mshahara wako haijaongezeka mwaka huu?. Acha upotoshaji.
Huu ni upotoshaji mkuu, yawezekana Mwandishi hauna taarifa au umedandanywa na unachokisndika haukielewi vyema.
Kupanda madaraja kwa watumishi kumefanyika karibia katika kila mwezi na wahusika kubadilishiwa mishahara.
Kusema Mwaka huu Utumishi wapo kimya ulitaka wafanyeje?. Kupanda daraja ni siri ya mwajiriwa na mwajiri wake. Kama upandaji wako umekwama, mwone afisa utumishi wako akutatulie
Sio kweli kwamba mishahara haijaongezeka, kuna staili nyingi za kuongeza mishahara. Hii ya kupunguza kodi ni mojawapo ambapo imezuia tabia za wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa Mara tu wasikiapo mishahara imepanda. Kweli take home ya mshahara wako haijaongezeka mwaka huu?. Acha upotoshaji.
Mleta hoja ana mantiki,utakuwa hujamwelewa kwa bahati mbaya au makusudi.Huu ni upotoshaji mkuu, yawezekana Mwandishi hauna taarifa au umedandanywa na unachokisndika haukielewi vyema.
Kupanda madaraja kwa watumishi kumefanyika karibia katika kila mwezi na wahusika kubadilishiwa mishahara.
Kusema Mwaka huu Utumishi wapo kimya ulitaka wafanyeje?. Kupanda daraja ni siri ya mwajiriwa na mwajiri wake. Kama upandaji wako umekwama, mwone afisa utumishi wako akutatulie
Sio kweli kwamba mishahara haijaongezeka, kuna staili nyingi za kuongeza mishahara. Hii ya kupunguza kodi ni mojawapo ambapo imezuia tabia za wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa Mara tu wasikiapo mishahara imepanda. Kweli take home ya mshahara wako haijaongezeka mwaka huu?. Acha upotoshaji.
Msukulle wa JPM wewe umekurupuka uko unakuja kutapika kama umekatwa kichwaHuu ni upotoshaji mkuu, yawezekana Mwandishi hauna taarifa au umedandanywa na unachokisndika haukielewi vyema.
Kupanda madaraja kwa watumishi kumefanyika karibia katika kila mwezi na wahusika kubadilishiwa mishahara.
Kusema Mwaka huu Utumishi wapo kimya ulitaka wafanyeje?. Kupanda daraja ni siri ya mwajiriwa na mwajiri wake. Kama upandaji wako umekwama, mwone afisa utumishi wako akutatulie
Sio kweli kwamba mishahara haijaongezeka, kuna staili nyingi za kuongeza mishahara. Hii ya kupunguza kodi ni mojawapo ambapo imezuia tabia za wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa Mara tu wasikiapo mishahara imepanda. Kweli take home ya mshahara wako haijaongezeka mwaka huu?. Acha upotoshaji.
Kajifunze kiswahili kwanzaHumu bosi wako yumo!!..
Maandishi yako.. vile umemalizia.. ni umeandika ujijuavyo kiupinzani.
Na umetunga mengi.. acha kudandia hao.. wanaoenda kumpatia Magufuli kura [emoji817]
Una lingine? Isiwe uwongo tu tena..
Una uhakika?Huu ni upotoshaji mkuu, yawezekana Mwandishi hauna taarifa au umedandanywa na unachokisndika haukielewi vyema.
Kupanda madaraja kwa watumishi kumefanyika karibia katika kila mwezi na wahusika kubadilishiwa mishahara.
Kusema Mwaka huu Utumishi wapo kimya ulitaka wafanyeje?. Kupanda daraja ni siri ya mwajiriwa na mwajiri wake. Kama upandaji wako umekwama, mwone afisa utumishi wako akutatulie
Sio kweli kwamba mishahara haijaongezeka, kuna staili nyingi za kuongeza mishahara. Hii ya kupunguza kodi ni mojawapo ambapo imezuia tabia za wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa Mara tu wasikiapo mishahara imepanda. Kweli take home ya mshahara wako haijaongezeka mwaka huu?. Acha upotoshaji.
wapo walo pandishwa madaraja mwaka 2013 wakaja pandishwa mwaka jana so kwa hao wa 2015 wasubiri 2021 so sad!!!Mleta hoja ana mantiki,utakuwa hujamwelewa kwa bahati mbaya au makusudi.
Waliopanda mara ya mwisho 2015 hawajapandishwa tena,ni miaka mitano sasa toka wapande daraja.
Usipopandisha daraja unakwamisha mambo mengi sana kwa mtumishi.
Nyanoko..Huu ni upotoshaji mkuu, yawezekana Mwandishi hauna taarifa au umedandanywa na unachokisndika haukielewi vyema.
Kupanda madaraja kwa watumishi kumefanyika karibia katika kila mwezi na wahusika kubadilishiwa mishahara.
Kusema Mwaka huu Utumishi wapo kimya ulitaka wafanyeje?. Kupanda daraja ni siri ya mwajiriwa na mwajiri wake. Kama upandaji wako umekwama, mwone afisa utumishi wako akutatulie
Sio kweli kwamba mishahara haijaongezeka, kuna staili nyingi za kuongeza mishahara. Hii ya kupunguza kodi ni mojawapo ambapo imezuia tabia za wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa Mara tu wasikiapo mishahara imepanda. Kweli take home ya mshahara wako haijaongezeka mwaka huu?. Acha upotoshaji.
Iwekyana kaly'empali.Olikitumbafu.kwani kewaugamba amazima bakukoma??Huu ni upotoshaji mkuu, yawezekana Mwandishi hauna taarifa au umedandanywa na unachokisndika haukielewi vyema.