Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Unajua figisu za kazini kuanzia kwa mkurugenzi mpaka kazini kwako, na huo muda utaupata wapi kwa mwalimu muda wote ni kuandaa sijui lesson[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo bado figisu za wanakijiji wanaofanya hizo shughuli ambazo ww unazifanya (kmmmk)[emoji849]

Maswali yataanza umekuja kufanya kazi au kufanya biashara?

Na ukijifanya nunda figisu zinaanza, Kama bado unakomaa unapotezwa mazima.

Kijijini pa kiwaki sn.
 
Umeongeza chumvi nyingi mno. Ni kweli baadhi ya mazingira ya vijiji ni magumu, lakini maisha yanasonga tu. Siku hizi vijiji vingi vina umeme, barabara zinapitika na usafiri wa bodaboda upo.
 
Hujamuelewa ,kama nature ya kazi Yako ni kukaa Wilayani sio ishu ila kama ni kukaa Vijijini kama huko Msangano kazi ipo πŸ˜πŸ˜†πŸ€ͺ

Chitete hapo ni Wilayani Wala sio kesi miundombinu Mingi imeanza kuwa safi,Barabara yenyewe mtajengewa soon ujengi wa Mlowo Kamsamba road ukianza Kuna section itakuja Wilayani hapo na hii ya kutokea Barabara ya Tunduma-Sumbawanga..

Ndanni ya miaka 5 ijayo mtakuwa mnacheka tuu.
 
Na hana ujanja Kwa sababu mara awaze uhamisho mara awe anadai tuposho na ghasia kama hizo..πŸ€ͺπŸ€ͺ
Hawezi kutoboa aruke vigingi vyote hivyo. Tena usiombe awe mzuri.

Kuna ticha mkuu mmoja aliwaunganisha karibu walimu wote wa kike kwenye grid ya taifa shule moja huko Mpanda kasoro maticha mabibi ndo walipona
 
Ukinipa ajira ya milioni moja kwa mwezi na option ya kufanyia kazi dar es salaam au kijijini kwangu nitachagua kwenda kijijini

Naamini laki tatu ya pale kijijini ni milioni moja ya dar es salaam kwa hiyo hapo nimeshampiga mtu gap

Lengo la kusoma zaidi ni kupata pesa zaidi
Kijijini niko pia na fursa ambazo zitanipatia pesa zaidi
Ukitutafuta baada ya miaka mitano nna uwezo wa kumwambia mwenzangu aache kazi nimuajiri mimi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ardhi ya kijijini eka moja tsh. lakimbili wkt mjini 20Γ—20 milioni nne mpaka nane[emoji35].

Hiyo ardhi unayomiliki huko kijijini ni useless.
 
Halmashauri za vijijini ni za KISHAMBA SANAA..

#YNWA
Halmashauri za Vijijini ndio Halmashauri gani? Sema kuishi Vijijini sometimes ndio mtihani lakini Ukiwa Wilayani Kuna shida gani Huduma zote zipo..

Binafsi Halmashauri ambazo naziogopa pamoja na kwamba kazi yangu ni lazima nikae Wilayani ila sizipendi kama Makete,Mafia,ukerewe huko,Halmayzote za Kagera kasoro Muleba ,Zote za Mtwara,Manyara,Longido,Monduli,Kigoma yaani Buhigwe huko ni kubaya πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ikawaje mkuu... ? Uliacha utumishi wa umma au ilikuwaje? Maama mimi wife na yeye kapata ualimu ... ni wa msingi sasa nawaza sana hapa sijui nifanyeje... nataka kutumia nguvu ya pesa sijui kama itawezekana
Nilikuwa nimevamia fan uwalimu ni wito. Mimi niliacha. Kama mkeo ana wito mwache afundishe. Unataka utumie nguvu ya pesa kivipi? Abadilishiwe kituo? Kama ni hilo sawa.
 
Uko Momba sehemu gani?

Halmashauri nzima kuanzia DED wenu mpaka mtumishi wa mwisho WANAWAZA KUHAMA.

Katika halmashauri chaka yaani ile chakaaaaa Momba ipo kwenye top ten.

Nina mshkaji wangu yupo hapo HQ zenu huyu jamaa yeye kila wiki yupo Mbeya mjini.

Na siku nilikuja mtembelea huko nikajifunza mengiii

Momba....
1. Usafiri shida (gari chache Tena Kuna route ya Barabara ya HQ - Chitete kuelekea Vwawa, na ile ya kutokea kule sijui Mkulwe - Vwawa) gari ni moja tu. Ukilikosa hili UMELIWA panda fuso.

2. Barabara vumbiii
Ukienda mjini kutokea Momba lazima uwe na gheto town la kubadilisha Nguo zenye vumbi

3. Umeme shida, Kuna vijiji umeme wa REA umefika vijiji ukawekwa nyumba 2 tu.

4. Maji shida, walimu na watumishi wa mtaani mnaokolewa na mto Ikana.

5. Ofisi za Halmashauri zilipo, Mungu saidia .. ..!!!!!

Kuajiriwa huko Momba ni kukaribisha umasikini tu.

#YNWA
 
Bro Mimi Niko kijijini Sana
NAMTAMBALALA HUKU
umenitia hasira Hadi nimeamua kutaja sehemu
[emoji23][emoji23]
Duh,kama sikosei nmepita 2018 ni Momba ndani ndani hyo.
 
Watumishi wa mjini hawajui ili kila muda ni kuropoka tu mara kijijini kuna fursa mara utapewa chakula bure mara utapewa mifugo bure.
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Kwanza wewe umependelewa Ifunda sio Kijijini ilitakiwa upelekwa ndani huko Njombe Ili uponde vizuri πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

Fursa zipo ila Sasa Kwa mtu ambae Kwa nature yake ni mfanyabiashara ila kama unataka kufanya fursa ndani ya fani Yako ujue imekukata..

Anza kulima miti 😁😁
 
Kijijini ndo mahala sahihi pa kuishi mwanaume anayejitafuta ,ukijitafuta kwenye kilimo na ufugaji,huku unapaendeleza mjini mahala ambapo utahamia hapo baadae ,akili huwa hailali akili inalazwa na muhusika
Huko kijiji tunakokimbia wakenya wakija watanunua mashamba huko
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Ni kawaida maana walijenga Halmashauri Kwenye Kijiji kipya,nyie zamani mlikuwa mnakaa Tunduma Jiwe aliwatimua 🀣🀣

Vumilieni tuu ndani ya miaka 5 ijayo Barabara haitakuwa issue tena.
 
Njoo uishi huku
Watu wanakula maisha
tu
Siwezi ng'oka MOMBA DC
[emoji16]
 
Wewe akili zako unawaza kulima mpunga sio kingine kilimo kwa kutumia nguvu zako au hela ya mshahara ni mateso huwezi kugundua leo ila in long run unajikuta bado we masikini.
Acha uongo mateso gani? Maisha ya Kijijini ni mateso tuu ikiwa uko Vijiji ambavyo fursa ni chache na hasa vyenye Hali ya ukame ukame
 
Mkuu Bora ya Misenyi,kule ni mpakani hivyo biashara ipo,nimekaa Bukoba Vijijini Kwa miaka minne nikifundishq hivyo napasoma vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…