Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Unajua figisu za kazini kuanzia kwa mkurugenzi mpaka kazini kwako, na huo muda utaupata wapi kwa mwalimu muda wote ni kuandaa sijui lesson[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo bado figisu za wanakijiji wanaofanya hizo shughuli ambazo ww unazifanya (kmmmk)[emoji849]

Maswali yataanza umekuja kufanya kazi au kufanya biashara?

Na ukijifanya nunda figisu zinaanza, Kama bado unakomaa unapotezwa mazima.

Kijijini pa kiwaki sn.
 
Huwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!
Mbaya zaidi hakuna umeme wala maji
Ni mwendo wa kibatari na maji ya kisima tena ya kufuata kijiji cha tatu
Hapo ni mwaka mmoja tu binti wa watu keshazeeka kachooka kama kikongwe wa miaka 90
Unakuta ameshakuwa chakula cha wafugaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeongeza chumvi nyingi mno. Ni kweli baadhi ya mazingira ya vijiji ni magumu, lakini maisha yanasonga tu. Siku hizi vijiji vingi vina umeme, barabara zinapitika na usafiri wa bodaboda upo.
 
Bro Uzi wako nimeuona na nimeulewa sidhani Kama Kuna halmashaur iliibuka tu na kuwa na huduma zote za kijamii
Ni uongo bro kwa mfano mzuri mm Niko halmashaur ya momba Ni WILAYA changa na mpya
So naamini one day tutafikiwa Ni wilaya inayokuja kwa kasi sana
Alfu pia nikutoe mawazo yako chanya eti ukiwa kijijin akili inalala
Ukipangiwa kijijin huwezi pata nafasi ya kwenda kusoma Ni uongo
Hapa kituoni nilipo Kuna mtumishi mwenzangu kapata nafasi kaenda shule
Kikubwa kushukuru mungu tu now days AJIRA NI NGUMU UKIPATA SHUKURU
hayo mengine utajua mbele ya safari
Hujamuelewa ,kama nature ya kazi Yako ni kukaa Wilayani sio ishu ila kama ni kukaa Vijijini kama huko Msangano kazi ipo 😁😆🤪

Chitete hapo ni Wilayani Wala sio kesi miundombinu Mingi imeanza kuwa safi,Barabara yenyewe mtajengewa soon ujengi wa Mlowo Kamsamba road ukianza Kuna section itakuja Wilayani hapo na hii ya kutokea Barabara ya Tunduma-Sumbawanga..

Ndanni ya miaka 5 ijayo mtakuwa mnacheka tuu.
 
Na hana ujanja Kwa sababu mara awaze uhamisho mara awe anadai tuposho na ghasia kama hizo..🤪🤪
Hawezi kutoboa aruke vigingi vyote hivyo. Tena usiombe awe mzuri.

Kuna ticha mkuu mmoja aliwaunganisha karibu walimu wote wa kike kwenye grid ya taifa shule moja huko Mpanda kasoro maticha mabibi ndo walipona
 
Ukinipa ajira ya milioni moja kwa mwezi na option ya kufanyia kazi dar es salaam au kijijini kwangu nitachagua kwenda kijijini

Naamini laki tatu ya pale kijijini ni milioni moja ya dar es salaam kwa hiyo hapo nimeshampiga mtu gap

Lengo la kusoma zaidi ni kupata pesa zaidi
Kijijini niko pia na fursa ambazo zitanipatia pesa zaidi
Ukitutafuta baada ya miaka mitano nna uwezo wa kumwambia mwenzangu aache kazi nimuajiri mimi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Maisha ni popote msitutishe wakuu !! [emoji3][emoji3] wote tukikaa town watanzania wenzetu nani atawahudumia ? Nikitoka kazini naenda kulangua maharage kwa wadau tupo msimu wa mavuno !! Wengine wanaleta nyumbani hapo hapo ! Kikubwa mtaji uwepo !! Wewe tu sometime unashuka town unachukua visimu vya tochi i mnabadilishana na maharage kwa ndoo moja sometime mbili [emoji23][emoji23] kwa sababu wao access ya kufika mjini sio rahisi barter trade haijaisha kabisa ! Maharage kwa sasa ni cheap kwa hiyo ni kuyahifadhi mpaka muda utakopoona bei imesogea !
Kwanini napapenda kijijini
Uwezo mkubwa wa kumiliki ardhi pia hata ukijenga hakuna kujibanabana 20x20 huku kwetu hamna ! (Simaanishi mjini Dar haiwezekani ila kwa maisha ya utumishi mtakua mashaidi wanaokula parefu wapo hongereni ila majority tunavimbiana tu kumiliki ardhi kidogo kubwa kubwa sio rahisi )
Pia ninapenda kilimo sana na ufugaji kwa hiyo kwangu naona sikukosea ! Na mpaka nilipofikia ni kilimo kazi ilinipatia mtaji wa kuanzia !!

Changamoto: Ukiwa na mzigo mkubwa wa bidhaa huwa inakua changamoto kutoa mzigo siku za nyuma ilikua inabidi ukiwa na maharage mpaka kuyafikisha mnadani ukakodi punda [emoji23][emoji23]sasa sikilizia kipengele cha kubembelezana na Punda mwendo wa masaa manne hadi sita !! Punda hata 60 ni kama uko machungani sasa Ila siku hizi mambo yamebadilika watu wamenunua trekta na si mnajua tabia za vijijini mtu akianzisha kitu watu wanaiga kwa hiyo wadosi walinunua imekua biashara sasa !! Kwa tuliosoma kidogo tumechangamka akili hatuuzi tena mnadani tunaenda tu kulangua na kupeleka sehemu kuuza kwa uzani!!
Shida kubwa ya watu wa kijijini hawatembei kujionea wengine wanafanya nini !

Vijana tusifungwe maana JF ina ushawishi sana mtu anaweza kusoma hapa akajikuta anaishi maisha ya nadharia jisikilizie unataka nini !! Madogo wataacha kazi na hivyo sera ni kutupwa kijijini
Home is not a place , it's a feeling !!
Ardhi ya kijijini eka moja tsh. lakimbili wkt mjini 20×20 milioni nne mpaka nane[emoji35].

Hiyo ardhi unayomiliki huko kijijini ni useless.
 
Halmashauri za vijijini ni za KISHAMBA SANAA..

#YNWA
Halmashauri za Vijijini ndio Halmashauri gani? Sema kuishi Vijijini sometimes ndio mtihani lakini Ukiwa Wilayani Kuna shida gani Huduma zote zipo..

Binafsi Halmashauri ambazo naziogopa pamoja na kwamba kazi yangu ni lazima nikae Wilayani ila sizipendi kama Makete,Mafia,ukerewe huko,Halmayzote za Kagera kasoro Muleba ,Zote za Mtwara,Manyara,Longido,Monduli,Kigoma yaani Buhigwe huko ni kubaya 😂😂
 
Ikawaje mkuu... ? Uliacha utumishi wa umma au ilikuwaje? Maama mimi wife na yeye kapata ualimu ... ni wa msingi sasa nawaza sana hapa sijui nifanyeje... nataka kutumia nguvu ya pesa sijui kama itawezekana
Nilikuwa nimevamia fan uwalimu ni wito. Mimi niliacha. Kama mkeo ana wito mwache afundishe. Unataka utumie nguvu ya pesa kivipi? Abadilishiwe kituo? Kama ni hilo sawa.
 
Bro Uzi wako nimeuona na nimeulewa sidhani Kama Kuna halmashaur iliibuka tu na kuwa na huduma zote za kijamii
Ni uongo bro kwa mfano mzuri mm Niko halmashaur ya momba Ni WILAYA changa na mpya
So naamini one day tutafikiwa Ni wilaya inayokuja kwa kasi sana
Alfu pia nikutoe mawazo yako chanya eti ukiwa kijijin akili inalala
Ukipangiwa kijijin huwezi pata nafasi ya kwenda kusoma Ni uongo
Hapa kituoni nilipo Kuna mtumishi mwenzangu kapata nafasi kaenda shule
Kikubwa kushukuru mungu tu now days AJIRA NI NGUMU UKIPATA SHUKURU
hayo mengine utajua mbele ya safari
Uko Momba sehemu gani?

Halmashauri nzima kuanzia DED wenu mpaka mtumishi wa mwisho WANAWAZA KUHAMA.

Katika halmashauri chaka yaani ile chakaaaaa Momba ipo kwenye top ten.

Nina mshkaji wangu yupo hapo HQ zenu huyu jamaa yeye kila wiki yupo Mbeya mjini.

Na siku nilikuja mtembelea huko nikajifunza mengiii

Momba....
1. Usafiri shida (gari chache Tena Kuna route ya Barabara ya HQ - Chitete kuelekea Vwawa, na ile ya kutokea kule sijui Mkulwe - Vwawa) gari ni moja tu. Ukilikosa hili UMELIWA panda fuso.

2. Barabara vumbiii
Ukienda mjini kutokea Momba lazima uwe na gheto town la kubadilisha Nguo zenye vumbi

3. Umeme shida, Kuna vijiji umeme wa REA umefika vijiji ukawekwa nyumba 2 tu.

4. Maji shida, walimu na watumishi wa mtaani mnaokolewa na mto Ikana.

5. Ofisi za Halmashauri zilipo, Mungu saidia .. ..!!!!!

Kuajiriwa huko Momba ni kukaribisha umasikini tu.

#YNWA
 
Watumishi wa mjini hawajui ili kila muda ni kuropoka tu mara kijijini kuna fursa mara utapewa chakula bure mara utapewa mifugo bure.
😁😁😁😆😆😆🤣🤣🤣🤣 Kwanza wewe umependelewa Ifunda sio Kijijini ilitakiwa upelekwa ndani huko Njombe Ili uponde vizuri 🏃🏃🏃🏃

Fursa zipo ila Sasa Kwa mtu ambae Kwa nature yake ni mfanyabiashara ila kama unataka kufanya fursa ndani ya fani Yako ujue imekukata..

Anza kulima miti 😁😁
 
Upo sahihi kabisaaa

Wale wa Halmashauri za Wilaya zile ngumuuu kama

1. Ukerewe
2. Momba
3. Mpimbwe
4. Mlele
5. Tanganyika

Watakuelewa vizuri sanaaa. Ukiwa halmashauri hizi Kutoboa ki exporure, academic na financially ni taabu sanaaaaaa.

Raia wa humo huwaza kulima na kufuga tu.

#YNWA
Kijijini ndo mahala sahihi pa kuishi mwanaume anayejitafuta ,ukijitafuta kwenye kilimo na ufugaji,huku unapaendeleza mjini mahala ambapo utahamia hapo baadae ,akili huwa hailali akili inalazwa na muhusika
Huko kijiji tunakokimbia wakenya wakija watanunua mashamba huko
 
Uko Momba sehemu gani?

Halmashauri nzima kuanzia DED wenu mpaka mtumishi wa mwisho WANAWAZA KUHAMA.

Katika halmashauri chaka yaani ile chakaaaaa Momba ipo kwenye top ten.

Nina mshkaji wangu yupo hapo HQ zenu huyu jamaa yeye kila wiki yupo Mbeya mjini.

Na siku nilikuja mtembelea huko nikajifunza mengiii

Momba....
1. Usafiri shida (gari chache Tena Kuna route ya Barabara ya HQ - Chitete kuelekea Vwawa, na ile ya kutokea kule sijui Mkulwe - Vwawa) gari ni moja tu. Ukilikosa hili UMELIWA panda fuso.

2. Barabara vumbiii
Ukienda mjini kutokea Momba lazima uwe na gheto town la kubadilisha Nguo zenye vumbi

3. Umeme shida, Kuna vijiji umeme wa REA umefika vijiji ukawekwa nyumba 2 tu.

4. Maji shida, walimu na watumishi wa mtaani mnaokolewa na mto Ikana.

5. Ofisi za Halmashauri zilipo, Mungu saidia .. ..!!!!!

Kuajiriwa huko Momba ni kukaribisha umasikini tu.

#YNWA
😆😆😆😆 Ni kawaida maana walijenga Halmashauri Kwenye Kijiji kipya,nyie zamani mlikuwa mnakaa Tunduma Jiwe aliwatimua 🤣🤣

Vumilieni tuu ndani ya miaka 5 ijayo Barabara haitakuwa issue tena.
 
Uko Momba sehemu gani?

Halmashauri nzima kuanzia DED wenu mpaka mtumishi wa mwisho WANAWAZA KUHAMA.

Katika halmashauri chaka yaani ile chakaaaaa Momba ipo kwenye top ten.

Nina mshkaji wangu yupo hapo HQ zenu huyu jamaa yeye kila wiki yupo Mbeya mjini.

Na siku nilikuja mtembelea huko nikajifunza mengiii

Momba....
1. Usafiri shida (gari chache Tena Kuna route ya Barabara ya HQ - Chitete kuelekea Vwawa, na ile ya kutokea kule sijui Mkulwe - Vwawa) gari ni moja tu. Ukilikosa hili UMELIWA panda fuso.

2. Barabara vumbiii
Ukienda mjini kutokea Momba lazima uwe na gheto town la kubadilisha Nguo zenye vumbi

3. Umeme shida, Kuna vijiji umeme wa REA umefika vijiji ukawekwa nyumba 2 tu.

4. Maji shida, walimu na watumishi wa mtaani mnaokolewa na mto Ikana.

5. Ofisi za Halmashauri zilipo, Mungu saidia .. ..!!!!!

Kuajiriwa huko Momba ni kukaribisha umasikini tu.

#YNWA
Njoo uishi huku
Watu wanakula maisha
tu
Siwezi ng'oka MOMBA DC
[emoji16]
 
Wewe akili zako unawaza kulima mpunga sio kingine kilimo kwa kutumia nguvu zako au hela ya mshahara ni mateso huwezi kugundua leo ila in long run unajikuta bado we masikini.
Acha uongo mateso gani? Maisha ya Kijijini ni mateso tuu ikiwa uko Vijiji ambavyo fursa ni chache na hasa vyenye Hali ya ukame ukame
 
Mkuu Bora ya Misenyi,kule ni mpakani hivyo biashara ipo,nimekaa Bukoba Vijijini Kwa miaka minne nikifundishq hivyo napasoma vyema
 
Back
Top Bottom