othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Hapo bado figisu za wanakijiji wanaofanya hizo shughuli ambazo ww unazifanya (kmmmk)[emoji849]Unajua figisu za kazini kuanzia kwa mkurugenzi mpaka kazini kwako, na huo muda utaupata wapi kwa mwalimu muda wote ni kuandaa sijui lesson[emoji23][emoji23][emoji23]
Maswali yataanza umekuja kufanya kazi au kufanya biashara?
Na ukijifanya nunda figisu zinaanza, Kama bado unakomaa unapotezwa mazima.
Kijijini pa kiwaki sn.