Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Komaa wakuhamishie mjini Vwawa, Mlowo au kwengine.

Mbozi ina mjini nyingi sanaa.

Wasalimie wanyia.

#YNWA
Unavyotaja uhamisho unadhani ni kitu simpo sana, MIMI siwez jua maana sipo huko ila Kwa maelezo ya walimu ninaowasaidiaga pesa za mkopo wananiambia kila kitu

Uhamisho bila kubadilishana hata utoe kafara ya mke wako huendi manispaa labda uwe na connection na hawa watatu wote Kwa pamoja

1 mkurugenzi mtendaji wa halmashauri

2.RAS

3.Katibu mkuu wa tamisemi

Hapo utatoboa tena uwe mvumilivu

Sehemu inayoitwa manispaa isikie tu bora halmashauri za miji
 
Mbozi ina mjini na kijijini.
Kwahiyo anahama Shule na sio Wilaya.

#YNWA
 
Amen.

#YNWA
 
Ninapozungumzia halmashauri za miji ni kama

Katoro

Katesh

Handeni mjini

Korogwe mjini

Halmashauri za manispaa ni kama

Singida mjini

Shinyanga mjini

Songea mjini

Iringa mjini

Halmashauri za jiji ni kama

Ilala

Mwanza

Dodoma

Arusha

Sasa bora miji Kwa mbali ila manispaa na jiji uhamisho wake ni parakatumba
 
Utoke DSM ukwende kufanya Kaz kaliu taboraa ninseriuos Kweli
 
Ukianzia kazi vijijini au mikoa ya pembezoni inakuwa na faida kubwa ghrama za maisha ni ndogo fursa za kulimo na ufugaji n.k
 
Huyo jamaa Liverpool VPN
Huyu kaja na Uzi wake ambao unaonesha tabu alizopata na hii kwa sababu ya ufinyu wa akili
Kumbuka Ametoka mjin kuja kijijin kufata fursa za kununua mazao
Ukishasema tu kijijini fursa zinakuwa za kulenga Kwa manati, ukifungua mgahawa huambulii kitu kila mtu anakula kwake, ukiwa na banda la matunda huambulii kitu watu wanakula matunda pori kwisha Habari

Kijijini ni kuzuri kwenda kusalimia ndugu zetu ingekuwa ni fursa wasingetupigia simu kuomba pesa za kununua sukari
 

Kwahiyo hata ndio maisha unayozungumzia HAYO MAISHA?

#YNWA
 
Unajuaje hayupo huko, neno choko limekukaa sana kinywani mwako inaonyesha ni tabia zako ndio maana unaona maisha ni mepesi Kwa kuwa unapewa pesa na wanaume
 
Naongezea hapo
Ukipangiwa kazi vijijini sana basi tegemea kuwa mlevi wa mataputapu na sigara pori
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Hii comment ndio imemalizia kwa nyundo ya kichwa kabisa
 
Kijijini tunalima,tunafuga,tunanunua mazao,tunakopesha hela wenye njaa,tunaweka mashine za kusaga/kukoboa,mpunga,alizeti na pia tunakuwa madalali wa kununua mizigo ya matajiri wa Mjini au connection za mifugo..
Ukiacha hizo tunaonesha Mpira kwenye vibanda umiza,na kuwa wakala japo hii ya uwakala ni hatari Bora hizo zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…