Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Unavyotaja uhamisho unadhani ni kitu simpo sana, MIMI siwez jua maana sipo huko ila Kwa maelezo ya walimu ninaowasaidiaga pesa za mkopo wananiambia kila kituKomaa wakuhamishie mjini Vwawa, Mlowo au kwengine.
Mbozi ina mjini nyingi sanaa.
Wasalimie wanyia.
#YNWA
Uhamisho bila kubadilishana hata utoe kafara ya mke wako huendi manispaa labda uwe na connection na hawa watatu wote Kwa pamoja
1 mkurugenzi mtendaji wa halmashauri
2.RAS
3.Katibu mkuu wa tamisemi
Hapo utatoboa tena uwe mvumilivu
Sehemu inayoitwa manispaa isikie tu bora halmashauri za miji