Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Hata uwe na solar kama mazingira yanayokuzunguka ni watupori lazima na wewe uwe pori
Pengine hujafika hivyo vijiji ninavyomaanisha unadhani nikisema kijiji namaanisha kijiji cha Makumbusho Dar[emoji1787]
Hawatakuelewa hawa watu, na asilimia kubwa haya watu wa jf wapo mjini.
 
I wish ungejuwa faida kubwa yakupangiwa Kijijini nadhani watu wengi wangetamani kupangiwa Kijijini tatizo kubwa vijana wengi hatuna elimu ya ujasiriamali uwezo wakuiona fursa Kuna walimu wamepangiwa vijijini leo maisha yao mshahara wala hawaugusi. Unaweza kujikuta umepangiwa Kijiji hakuna duka hakuna machine hakuna huduma zakijamii badala yakulalamika kama tunavyolalamika kwa DPW tafuta fursa Kuna watu wanaimaisha mazuri na mikwanja vijijini mpaka huwamini alafu unakuta analipwa sawa na wewe 500,000 / = vijana Hamna maono vijana mnapenda mjini kula Bata badala yakuja vijijini na kufanya maendeleo leo Kuna Mwlm namjuwa anauza barafu peke yake Kijijini ametumia fursa ya rea kufanya mabadiliko. So unaweza kizee wala sio vision
Kwani watumishi wa mijini hawauzi barafu? Haya unayoyasema hapa kwani mjini hayafanyiki? Napenda ujue kuwa ukitoka mjini unajuwa na akili sharp sana lakini ukienda kuishi kijijini kila siku akili yako inapungua na haya mawazo ya kuangalia fursa hutokuwa nayo tena, pia kuna vijijini ni kama jangwa hakuna kulima hakuna kufuga hakuna fursa yoyote.
 
Uwezo wa kufikiri hutegemea na mazingira yanayokuzunguka eg aliekulia New York, dar es salaam na Pangani hawawezi fanana hata kama wote hawajasoma.
Uwezo wa kufikiria na kuziona fursa hutegemea level ya competition ya jamii ndio maana mtu wa kijijini automatic hujikuta ni fursa Kwa yule wa mjini eg unatoka na mazao Yako kuja kuuza mjini utakutana na mtu anaejiita dalali anakupiga
Kama Japan nchi ya Dunia ya kwanza na watu wanakimbia vijijini huku vijiji vyao vikiwa na Kila kitu Barbara za lami,umeme,maji,mawasiliano mpaka ukitaka kuhama mjini kurudi kijijini serikali inakulipa lakini watu hawataki hapo unaweza ona by nature kijijini huwezi fanikiwa

Wewe ona hata hizi jamii za watu weupe zinarundikana kutokana na maendeleo ya sehemu ukiwa dar es salaam ukiambiwa katafute muhindi, machina,mwarabu ni rahisi Sasa nenda Nanyamba huwakuti kwakuwa fursa zinakuwa zimepungua, vijijini hata mzunguko wa pesa ni za msimu.

Watu wa vijijini Bado wanaamini kwenye socialization hivyo wengi huamini huduma ni Bure hivyo huwezi kutumia professional Yako kujipatia kipato Cha ziada mfano nesi wa mjini ukienda kumfuata nyumbani kwake muda sio wa kazi akuchome sindano utamlipa 1000 kijijini mtu atataka Bure,
All in all kijijini utaonekana umefanikiwa ila hujafanikiwa sema kwakuwa unashindana na masikini ni SAWA na wale tunaowaona wamefanikiwa Tanzania ukienda linganisha na wamarekani utawaona wakawaida
 
I wish ungejuwa faida kubwa yakupangiwa Kijijini nadhani watu wengi wangetamani kupangiwa Kijijini tatizo kubwa vijana wengi hatuna elimu ya ujasiriamali uwezo wakuiona fursa Kuna walimu wamepangiwa vijijini leo maisha yao mshahara wala hawaugusi. Unaweza kujikuta umepangiwa Kijiji hakuna duka hakuna machine hakuna huduma zakijamii badala yakulalamika kama tunavyolalamika kwa DPW tafuta fursa Kuna watu wanaimaisha mazuri na mikwanja vijijini mpaka huwamini alafu unakuta analipwa sawa na wewe 500,000 / = vijana Hamna maono vijana mnapenda mjini kula Bata badala yakuja vijijini na kufanya maendeleo leo Kuna Mwlm namjuwa anauza barafu peke yake Kijijini ametumia fursa ya rea kufanya mabadiliko. So unaweza kizee wala sio vision
Unakuta unayoyasema haya upo mjini[emoji16]

Wakurugenzi wenyewe wa vijijini familia zao wameweka mjini

Wabunge wa hivo vijiji wote wanaishi mjini[emoji3]
 
I wish ungejuwa faida kubwa yakupangiwa Kijijini nadhani watu wengi wangetamani kupangiwa Kijijini tatizo kubwa vijana wengi hatuna elimu ya ujasiriamali uwezo wakuiona fursa Kuna walimu wamepangiwa vijijini leo maisha yao mshahara wala hawaugusi. Unaweza kujikuta umepangiwa Kijiji hakuna duka hakuna machine hakuna huduma zakijamii badala yakulalamika kama tunavyolalamika kwa DPW tafuta fursa Kuna watu wanaimaisha mazuri na mikwanja vijijini mpaka huwamini alafu unakuta analipwa sawa na wewe 500,000 / = vijana Hamna maono vijana mnapenda mjini kula Bata badala yakuja vijijini na kufanya maendeleo leo Kuna Mwlm namjuwa anauza barafu peke yake Kijijini ametumia fursa ya rea kufanya mabadiliko. So unaweza kizee wala sio vision
Wamezoea kwenda bar kujirusha kila weekend
 
Acheni mindset za kipumbavu kutimiza ndoto zako hakuna limitations ya mazingira kwani hawawezi soma open university au distance learning zingine.
Utajiri wa halali upo vijijini.
Hayo mazao na mifugo si ndio pesa zenyewe ukileta mjini.
Sema huwezi toboa kwa mapato ya rushwa kwa maana rushwa zipo mijini.
Kwani open university/other distance learning wana offer kozi zote?

Mfano medicine wanatoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani umesema kweli jitu kama hili mawazo yake nikuwa mjini ndio ujanja na kupata shahada ndio ujanja wakati mwenzake anafuga na kilima kesho anazeeka na lishaada lake lauvumbivu hana kitu hata Pssf analipwa anaenda nunua gari anawapa watoto anaumwa presha na kisukari kwaheri mwenzake alie kuwa Kijijini akistaafu hana kazi na mafao maana nitajiri wa mashamba, kilimo na biashara nyingine haanzi biashara anajuwa biashara. Kiukweli Kodi kubwa mijini ndogo Kijijini watu wapate akili.
[/QUO
Upo sawa kabisa, watu wanadhani kusoma na kupngeza elimu ndio utajiri wanashindwa kufukuzana na wakati.
 
Uwezo wa kufikiri hutegemea na mazingira yanayokuzunguka eg aliekulia New York, dar es salaam na Pangani hawawezi fanana hata kama wote hawajasoma.
Uwezo wa kufikiria na kuziona fursa hutegemea level ya competition ya jamii ndio maana mtu wa kijijini automatic hujikuta ni fursa Kwa yule wa mjini eg unatoka na mazao Yako kuja kuuza mjini utakutana na mtu anaejiita dalali anakupiga
Kama Japan nchi ya Dunia ya kwanza na watu wanakimbia vijijini huku vijiji vyao vikiwa na Kila kitu Barbara za lami,umeme,maji,mawasiliano mpaka ukitaka kuhama mjini kurudi kijijini serikali inakulipa lakini watu hawataki hapo unaweza ona by nature kijijini huwezi fanikiwa

Wewe ona hata hizi jamii za watu weupe zinarundikana kutokana na maendeleo ya sehemu ukiwa dar es salaam ukiambiwa katafute muhindi, machina,mwarabu ni rahisi Sasa nenda Nanyamba huwakuti kwakuwa fursa zinakuwa zimepungua, vijijini hata mzunguko wa pesa ni za msimu.

Watu wa vijijini Bado wanaamini kwenye socialization hivyo wengi huamini huduma ni Bure hivyo huwezi kutumia professional Yako kujipatia kipato Cha ziada mfano nesi wa mjini ukienda kumfuata nyumbani kwake muda sio wa kazi akuchome sindano utamlipa 1000 kijijini mtu atataka Bure,
All in all kijijini utaonekana umefanikiwa ila hujafanikiwa sema kwakuwa unashindana na masikini ni SAWA na wale tunaowaona wamefanikiwa Tanzania ukienda linganisha na wamarekani utawaona wakawaida
Mapopoma yapo humu kuwalisha wenzao ujinga wakati wao wametulia mijini wakila kiepe yai, na maini roast, bila kusahau kusahau kula mbususu zenye quality...wajinga sana hawa kamanda.
 
Ujue ukiropoka uwe na data

Hujui ni mwaka huu ndiyo serikali imeingia mkataba wa ujenzi wa minara 700 sehemu ambazo hakuna mawasiliano.

Vijiji asilimia 99 havina 4G wala 3G bado wako Edge
Man nimetembea nchi hii sehem pasipo na network labda kwa sababu ya ishu ya population kampuni za simu zimeona hailipi.Hakuna kijiji Cha population zaidi ya watu 100 kikakosa mawasiliano inaweza isiwe ni 24hrs sababu usiku hakuna Sola na pia wapo bondeni lakini mchana wanapata network.
Serikali gani inayojenga minara
 
Wewe haupo vijijini na wala hujawahi kuishi kijijini, nenda kijijini kaishi haya maneno ya taarabu hutosema tena.
Kwamba unayajua zaidi maisha yangu kuliko mimi?

Acha ujuaji.

Kwa sasa sipo kijijini, ila niliishi miaka mitatu.
 
Back
Top Bottom