Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

1.kitaaluma ni rahisi kujiendeleza ukiwa mjini
2. Kibiashara, mjini kuna watu na penye watu kuna fursa za biashara

3.Masoko ya kilimo yapo mjini, unaweza ishi mjini ukalima vijijini huku ukitafuta masoko mjini kuliko kuishi kijijini uje utafute masoko mjini

4. Ma deal yote yapo mjini bhana
Hapo ni namba 1 tu ina ukweli

Hizo zilizobaki 2-4 ukikua utaacha mawazo ya kitoto

Mjini kunahitaji akili sana la sivyo wengi huishia kustaafu wakiwa wamejitahidi sana nyumba 2 na gari na vijumba vya kupangisha na fremu mbele ya nyumba

Tena hapo inategemea ulikuwa kada au taaluma gani na uliajiriwa taasisi ipi

Mikopo na gharama za maisha zinawasotesha sana watumishi wengi hapa town. Unakaribia kusettle umebakisha miaka 10 ustaafu

Kokote mtu aishi cha muhimu ni kucheza na fursa ila baadhi ya vijiji hautoboi na mjini akili nyingi inahitajika
 
Usiwe mjinga na wewe japo najua yule mkuu wa uchawi vijijini Wana kawaida ya kufunga maendeleo ya eneo Fulani hasa walipo wenyeji watupu lakin unaweza ukawashinda pia
Tupe mbinu hiwe faida kwa wote humu🙏🙏
 
Hapo ni namba 1 tu ina ukweli

Hizo zilizobaki 2-4 ukikua utaacha mawazo ya kitoto

Mjini kunahitaji akili sana la sivyo wengi huishia kustaafu wakiwa wamejitahidi sana nyumba 2 na gari na vijumba vya kupangisha na fremu mbele ya nyumba

Tena hapo inategemea ulikuwa kada au taaluma gani na uliajiriwa taasisi ipi

Mikopo na gharama za maisha zinawasotesha sana watumishi wengi hapa town. Unakaribia kusettle umebakisha miaka 10 ustaafu

Kokote mtu aishi cha muhimu ni kucheza na fursa ila baadhi ya vijiji hautoboi na mjini akili nyingi inahitajika
Nikiona msomi ameajiliwa kijijini na amedumu uko zaidi ya miaka mitano namuona kama ana akili pungufu au karogwa......kijijijini ni kijijijni ni mateso tupu ndo maana hujawahi kuona ikulu ya Raisi kijijini licha ya kua raia wengi anao watawala wanaishi uko bushi.
 
Sijui kwa vijiji vya mikoa mingine. Ila vijiji vyote vya mkoa wa morogoro ukiwa serious unatoboa mapema. Na maisha ya mjini utayachukia.

Haswa vijiji vya wilaya za kilombero na ulanga. Kuna watu wanaacha kazi na wanabaki kijijini kujishughulisha na mambo yao
 
Ongeza Gairo pia
 
Mimi huwa nawaona kama mandondocha wenye ndoto mfu.
 
Sijui kwa vijiji vya mikoa mingine. Ila vijiji vyote vya mkoa wa morogoro ukiwa serious unatoboa mapema. Na maisha ya mjini utayachukia.

Haswa vijiji vya wilaya za kilombero na ulanga. Kuna watu wanaacha kazi na wanabaki kijijini kujishughulisha na mambo yao
Huko sawa mkuu napakubali pamoja na ifakara, lakini vijijini vilivyobaki vya hii nchi ni tabu juu ya mateso.
 
Sijui kwa vijiji vya mikoa mingine. Ila vijiji vyote vya mkoa wa morogoro ukiwa serious unatoboa mapema. Na maisha ya mjini utayachukia.

Haswa vijiji vya wilaya za kilombero na ulanga. Kuna watu wanaacha kazi na wanabaki kijijini kujishughulisha na mambo yao
Wewe akili zako unawaza kulima mpunga sio kingine kilimo kwa kutumia nguvu zako au hela ya mshahara ni mateso huwezi kugundua leo ila in long run unajikuta bado we masikini.
 
Mtumishi usipotoboa kijijini utatoboa wapi Sasa,kule Kila kitu ni bure matumizi ya pesa ni machache utabakia na saving ya kutosha mtaji,maji bure, Kuni bure, chakula ishi vizur na wanakijiji wanakupa bure,cheap labour elf 5 kwa kazi ya trekta.Kijijini ukawe Kama daraja la kuunganisha uhitaji wa mijini na kijijini
 
Back
Top Bottom