Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hapo ni namba 1 tu ina ukweli1.kitaaluma ni rahisi kujiendeleza ukiwa mjini
2. Kibiashara, mjini kuna watu na penye watu kuna fursa za biashara
3.Masoko ya kilimo yapo mjini, unaweza ishi mjini ukalima vijijini huku ukitafuta masoko mjini kuliko kuishi kijijini uje utafute masoko mjini
4. Ma deal yote yapo mjini bhana
Hizo zilizobaki 2-4 ukikua utaacha mawazo ya kitoto
Mjini kunahitaji akili sana la sivyo wengi huishia kustaafu wakiwa wamejitahidi sana nyumba 2 na gari na vijumba vya kupangisha na fremu mbele ya nyumba
Tena hapo inategemea ulikuwa kada au taaluma gani na uliajiriwa taasisi ipi
Mikopo na gharama za maisha zinawasotesha sana watumishi wengi hapa town. Unakaribia kusettle umebakisha miaka 10 ustaafu
Kokote mtu aishi cha muhimu ni kucheza na fursa ila baadhi ya vijiji hautoboi na mjini akili nyingi inahitajika