mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Nadhani haja ya kuimarisha taasisi za udhibiti na ukaguzi ni muhimu kikatiba ili nidhamu na tija viwepo..Hata hizo taasisi zikilipa bado zitaishia mikononi mwa wachache kama huna nidhamu kwenye kidogo hata kikubwa kitakushinda tu kwanini 4% ya bajeti inatengwa kwenye anasa (sherehe, vitafunwa, samani za wakubwa, safari nk) huoni ni uzwazwa zaidi ya 600B zinatengwa kwenda kununua magari ya kifahari ya mwaka 2024 kama haitoshi wake za wastaafu wanalipwa nao kiinua mgongo ajabu kabisa.
♻️Kwa kuzingatia wigo mdogo wa walipa kodi ktk nchi yetu dhidi ya idadi kubwa ya wananchi..
♻️Kufuatia deni la taifa kuongezeka kila leo..
Kufuatia mtikisiko wa thamani wa fedha yetu..
♻️Kufuatia ukwasi mkubwa wa taasisi za kidini kupitia mapato ya Sadaka,dhaka,mafungu ya kumi..Malimbuko..
♻️Kufuatia wepesi wa Watanzania kutoa Sadaka kuoitia imani zao mbalimbali..
♻️Kufuatia utajiri na ukwasi mkubwa wa waendesha huduma za kiroho..Na hili linachagizwa na biashara ya kuuza maji ya upako,Chumvi,Vitambaa,Mafuta,Rangi,etc.
♻️Ni wakati sasa sheria ya kodi iguse na kutoza kodi kwenye taasisi hizi kuongeza wigo wa mapato kwa nchi.
Mwambie ukweli huyo chawa hajielewi kabisa!Hata hizo taasisi zikilipa bado zitaishia mikononi mwa wachache kama huna nidhamu kwenye kidogo hata kikubwa kitakushinda tu kwanini 4% ya bajeti inatengwa kwenye anasa (sherehe, vitafunwa, samani za wakubwa, safari nk) huoni ni uzwazwa zaidi ya 600B zinatengwa kwenda kununua magari ya kifahari ya mwaka 2024 kama haitoshi wake za wastaafu wanalipwa nao kiinua mgongo ajabu kabisa.
Kodi ipi vilipe?♻️Kwa kuzingatia wigo mdogo wa walipa kodi ktk nchi yetu dhidi ya idadi kubwa ya wananchi..
♻️Kufuatia deni la taifa kuongezeka kila leo..
Kufuatia mtikisiko wa thamani wa fedha yetu..
♻️Kufuatia ukwasi mkubwa wa taasisi za kidini kupitia mapato ya Sadaka,dhaka,mafungu ya kumi..Malimbuko..
♻️Kufuatia wepesi wa Watanzania kutoa Sadaka kuoitia imani zao mbalimbali..
♻️Kufuatia utajiri na ukwasi mkubwa wa waendesha huduma za kiroho..Na hili linachagizwa na biashara ya kuuza maji ya upako,Chumvi,Vitambaa,Mafuta,Rangi,etc.
♻️Ni wakati sasa sheria ya kodi iguse na kutoza kodi kwenye taasisi hizi kuongeza wigo wa mapato kwa nchi.
Ni wazo zuri, naongezea kwa kushauri na kupendekeza yafuatayo ili kukuza hiyo TAX BASE♻️Kwa kuzingatia wigo mdogo wa walipa kodi ktk nchi yetu dhidi ya idadi kubwa ya wananchi..
♻️Kufuatia deni la taifa kuongezeka kila leo..
Kufuatia mtikisiko wa thamani wa fedha yetu..
♻️Kufuatia ukwasi mkubwa wa taasisi za kidini kupitia mapato ya Sadaka,dhaka,mafungu ya kumi..Malimbuko..
♻️Kufuatia wepesi wa Watanzania kutoa Sadaka kuoitia imani zao mbalimbali..
♻️Kufuatia utajiri na ukwasi mkubwa wa waendesha huduma za kiroho..Na hili linachagizwa na biashara ya kuuza maji ya upako,Chumvi,Vitambaa,Mafuta,Rangi,etc.
♻️Ni wakati sasa sheria ya kodi iguse na kutoza kodi kwenye taasisi hizi kuongeza wigo wa mapato kwa nchi.
Kweli walipe kodi sasa, haya si Makanisa ni makampuni, Yesu aliwapiga na kuwafukuza wafanyabiashara ndani ya kanisa... Leo wamerudi kwa nguvu na ari mpya.... Elisha alikataa zawadi ya Naamani, hebu Naamani aje leo atashangaa..... yaani Wanadai michango Hadi kama vichaa....♻️Kwa kuzingatia wigo mdogo wa walipa kodi ktk nchi yetu dhidi ya idadi kubwa ya wananchi..
♻️Kufuatia deni la taifa kuongezeka kila leo..
Kufuatia mtikisiko wa thamani wa fedha yetu..
♻️Kufuatia ukwasi mkubwa wa taasisi za kidini kupitia mapato ya Sadaka,dhaka,mafungu ya kumi..Malimbuko..
♻️Kufuatia wepesi wa Watanzania kutoa Sadaka kuoitia imani zao mbalimbali..
♻️Kufuatia utajiri na ukwasi mkubwa wa waendesha huduma za kiroho..Na hili linachagizwa na biashara ya kuuza maji ya upako,Chumvi,Vitambaa,Mafuta,Rangi,etc.
♻️Ni wakati sasa sheria ya kodi iguse na kutoza kodi kwenye taasisi hizi kuongeza wigo wa mapato kwa nchi.
Tax base nakubali,asilimia 45% tatizo nchi imewekeza mno katika anasa,safari za viongozi wajuu wa nchi,warsha, na rushwa hivi vitu vinakula Sana fedha za nchi,Kama nchi hatuna usimamizi madhubuti wa mapato ya nchi,na hatujaimarisha uzalishaji wa ndani Bali tunaendekeza mikopo ndiyo itatuletea maendeleo
CAG kila mwaka anakuja na report yenye ubadhirifu lakini hakuna kinachofanyika ila mwizi wa kuku na mchoma picha kesi ni harakq na mvua inamnyesheaNadhani haja ya kuimarisha taasisi za udhibiti na ukaguzi ni muhimu kikatiba ili nidhamu na tija viwepo..
Acheni kuwatengenezea njia zaidi za kupiga hela hawa mafisadi. Rasilimali tulizonazo, zikitumiwa vizuri na kubana matumizi Serikalini, hali itakuwa tofauti.
Nchi inaenda kukopa na inajaza wabunge wa viti maalum, hawana tija ni kuongeza mzigo wa bure. Magari ya viongozi wananunua ya bei kubwa sana bado jinsi ya kuyaendesha.
Safari za nje ni nyingi kwa viongozi. Wajibane na waache ufisadi halafu waone nini kitatokea. Hawataweza sababu kwao kuwa kiongozi, ni kuishi kama Mfalme au Malkia.
Kupanga ni kuchagua
Nchi tajiri wapo sensitive sana ktk matumizi yao..
Nasi ni wakati tukafanya maamuzi ya kujibana kwa dhati..Tudhibiti matumizi yasio ya lazima sana..Tupunguze misafara,warsha,Makongamano,Maadhimishoyanayoepukika au yasio na tija kwenye ukuaji wa uchumi..
Ni wazo zuri, naongezea kwa kushauri na kupendekeza yafuatayo ili kukuza hiyo TAX BASE
1. Iwe ni sheria kila nyumba iwe na umeme ili kulipa kodi ya majengo, imagine kuna nyumba ngapi kuanzia Bukoba mpaka Tanga, kuna nyumba ngapi kuanzia Mara mpaka Mtwara vipi kuhusu nyumba kuanzia Katavi mpaka Manyara na je kuna nyumba ngapi kuanzia Arusha hadi Kigoma.
Ni maelfu ya nyumba hata wakilipa 1000 tu kwa mwezi ambayo hata haiumizi ni pesa kiasi gani utakusanya na nipesa ya uhakika kila mwezi maana lazima anunue umeme.
Pili kuwepo na mipango miji yenye tija ili kubaini wafanyabiashara wote, kuwepo na sheria ya maeneo maalumu ya kufanyia biashara ili kubaini idadi yao, siyo kama ilivyo kwa sasa wanafanyabiashara wanaotambulika ni wale tu waliopo cente ya kijiji au wilaya, lakini huko vichochoroni nje na cente kunawatu wanabiashara na hawalipi kodi mfano mtu amegeuza chumba kimoja kimejaa bidhaa na kufanya dirisha moja kuwa sehemu ya kutolea huduma ya dukani lakini halipi kodi je ni mapato kiasi gani yanapotea??
Badala yake unabebesha mzigo kwa watu wachache. Na hii ni Wizara moja tu ya ardhi sijagusa Wizara ya kilimo.