Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Bila kusahau na STDs.Si mbaya wanashare upendo.
Sasa hapa alaumiwe nani anaevua au anaevulisha...?Ni weekend nyingine unaweza tembelea Tabata na Sinza kuifurahia weekend yako. Kuna ishu imezuka kwa baadhi ya vijana akishasex na mwanamke anamuunganishia na rafiki zake nao waweze kusex nae kunakuwa na mnyororo mrefu.
Hii ishu imekuwa kama mchezo mwanamke mmoja anasex na watu kama wanne na wote ni marafiki na wanajuana. Bila kujali magonjwa ya zinaa yapo.
Nakazia