KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Ngoja ningoje uje ukamilishe andiko lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM watatawala nani na wapi ikiwa dunia nzima itakuwa ishaungua wakati jua linazimika?Ndio! Kwa mfano hii kauli tayar mmeifanya agenda,je mtaweza kuitoa kweli ccm?
Kama kusema kweli ndio upenzi wa Mungu na sio kosa kusema kweli acha na mimi niseme kweli kuhusu fikra zangu.Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Itaendelea
NI KWELI TUPU HATA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, NDUGU LUGOLA KATHIBITISHA HILO KWA KITENDO CHAKE CHA KUTEMBEA NA ILANI YA CCM KILA PAHALI HATA ANAPOZURU MAJESHINIWanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Itaendelea
Mpigie simu mbunge wa mtama yupo jimboni muda huu mweleze hayo.Kama maendeleo yataletwa na sisiem bas waendelee tu kutawala, maana sahv kero za wananchi zinasikilizwa, serikalini viongozi wanatimiza majukum yao, ndo mambo tuliokuwa tunalilia tangu zamani, mashirika pia yanafufuliwa, mazuri yakizidi mabaya tunasonga mbele
"CCM itatawala milele na Tanzania itakuwa maskini milele"Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Itaendelea
Nayo yatapita tu!Nahisi una ugonjwa wa mahaba, huyu hajui ukweli, ni mkurupukaji, hajui maana ya collective responsibility, huyu ni mvurugaji, hata Yesu pamoja na kuwa na mamlaka ya kimungu alihitaji wasaidizi
Anipigie yeye nimwelekeze hayoi mpigie simu mbunge wa mtama yupo jimboni muda huu mwekeze hayo.
P. kuna wakati unacheza na akili zetu kweli kweli-sasa kama hakuna kitakachobadilika ni wazi tutaendelea na CCM milele (LOL). On a serious note: Kama JPM anataka kujua ukweli jinsi CCM inavyopendwa (1) WAACHE UCHAMA DOLA na pili (2) TUPATE KATIBA INAYO RUHUSU UCHAGUZI NA SIASA HURU. Siku hizi kila mkutano vyombo vya dola vipo full-kama huwezi kusoma nafikiri picha unaweza kuisoma. Siasa wanafanya wao hata hujui shughuli ipi ni ya serikali na ipi ni ya CCM. Chaguzi ndio hizo wakina JECHA, wagombea kutekwa, ma-agents kufurumishwa etc.Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Ndio maana yake, miaka 56 wako madarakani hali iko hivi pamoja na Mungu kutujalia rasilimali zote hizi, watu wapole (waoga) na eneo kubwa la kutosha lakini hiiiiiii, watu bado wanakunywa maji pamoja na ng'ombe,mbuzi na punda?"CCM itatawala milele na Tanzania itakuwa maskini milele"
Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Itaendelea
Raisi hana hata kimoja anachosema ni cha ukweli,katika kumchanganyua(Analyze),Raisi wa Tanzania kuna kila dalili kuwa Magufuli katoka katika family katili sana,familiy ambayo mtoto anaadhibiwa kikatili hata kwa kosa dogo la kutomsalimia Mama au Baba asubuhiWanabodi,