Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho.

Leo nawafanyia analysis ya kauli ya rais Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele" japo ni kauli yenye ukweli mchungu, lakini ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, chini ya katiba hii ya JMT ya mwaka 1977 ambayo ni katiba ya mfumo wa chama kimoja, kama hakuna kitakachobadilika kama mchezo wa siasa kuchezwa kwenye uwanja tenge, bila kupatikana kwa katiba mpya, au kufanyika mabadiliko madogo ya katiba (minimum reforms) ya kuuondoa vifungu vyenye ubatili ndani ya katiba yetu, kuwa na sheria mpya ya uchaguzi na kuunda kwa Tume huru na Shirikishi ya Uchaguzi, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.

Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli daima no matter what, bila kujali ukweli huo, utamfurahisha nani au utamuudhi nani, atausema tuu bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio vizuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa, hivyo hili la CCM kutawala milele ni ukweli mtupu ambao lazima tuukubali!.

Kuna wengi wanadhani siasa ni kupiga tuu blah blah, hivyo kwao, kila kinachosemwa na wanasiasa, wanakiona kama ni blah blah!, no!. Siasa sio blah blah tuu, japo blah blah zipo, ila pia kuna ukweli bayana, dhahir, shahir!. Siasa ni sayansi, social science, hivyo sayansi ya siasa ni political science, inafuata kanuni zile zile za kisayansi za Newton's laws of motion, ile kanuni ya "a body in motion" or
" a static body", itaendelea kubaki hivyo hivyo milele, hadi kutokea nguvu nyingine itakayoibadilisha, hivyo kwa hali hii ilivyo sasa, CCM is the body in motion, kwenye siasa za Tanzania, itaendelea kutawala mpaka kutokee nguvu nyingine to stop it!. Kwa upinzani uliopo Tanzania bara kwa sasa ni too weak, and fragmented such that, it can't stop CCM!, hivyo huo umilele, wa CCM ndio umelalia hapo, ndio maana sasa kumejitokeza watu wenye uwezo wa Kimungu, na kulizungumza hili hadharani, wameishaona kuwa kwa Tanzania, hakuna kabisa uwezekano wa kutokea nguvu nyingine ya kuizuia CCM isitawale milele nchi yetu ya Tanzania, hivyo CCM, itatawala milele!.

Japo kila lenye mwanzo, huwa lina mwisho, na CCM kama chama, ina mwanzo hivyo ni lazima nayo iwe na mwisho, unless CCM ndie Mungu mwenyewe, ambaye Yeye ndiye Pekee Alfa na Omega hivyo CCM hii iliyopo sasa nayo ni CCM alfa na omega, ina mwanzo tuu, lakini haina mwisho!, hivyo pia katika utawala wa Tanzania, CCM ndio alfa na omega wa siasa zetu, ndicho chama pekee chenye hati miliki ya kuitawala Tanzania milele!, huu ni ukweli bayana ambao lazima sote, tuupokee, tuukubali na tuutekeleze. Wale wote wasioukubali ukweli huu, ni kweli kabisa watapata taabu sana!, kwasababu CCM sio tuu ni chama cha siasa, na chama tawala, CCM pia ni chama dola, CCM ni dola! CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!

Jee Milele ni Muda Gani?.
Kuna aina mbili za milele, milele ya kwanza ni milele ya kiroho, eternal ambayo inaongozwa na Mungu, na hata sisi binadamu, tutaishi milele, hivyo hapa duniani tuko tuu njiani, tuko safarini tunapita tuu, na sote tutapita kuelekea kwenye makao ya milele ambayo ni ama uzima wa milele peponi mbinguni kwa Mungu Baba, kwa watenda wema, au kwenye jehanum ya ziwa la moto wa milele kwa mwovu shetani kwa watenda maovu!

Milele ya pili ni life span ya kudumu hapa duniani mpaka mwisho wa maisha yako ya duniani. Hii ni milele ya kidunia, ukizaliwa ukaishi, siku utakapokufa hiyo ndio mwisho wako, ndio milele yako, na ndio ile kauli ya kila lenye mwanzo, lina mwisho!. The Life span zinatofautiana, mtoto akizaliwa na kuishi siku moja, hiyo siku moja, ndio milele yake, na mtu mwingine ukiishi miaka 100, hiyo ndio milele yake, kama ilivyo nyumba, ukizaliwa na kuvikuta vitu fulani, ukaishi navyo mpaka ulipokufa na kuviacha, vitu hivi vitasemwa vimeishi milele. Hivyo kwa wale wote walioishuhudia CCM ikizaliwa, kisha wao ndio wamekufa na kuiacha CCM, kwao CCM imedumu milele. Hivyo hata hawa waliopo sasa, ambao wamezaliwa na kuikuta CCM, na watakufa na kuiacha CCM, kwao CCM ni chama cha milele!.

Hizi kauli za CCM kutawala milele, hazikuanza leo, na wala hazikuanza na rais Magufuli. Hebu tembelea bandiko hili, umsikilize mwana CCM huyu alisema nini na uangalie alisema
lini na alisema wapi!, kwa wavivu wa kufungua links, kauli hii ya CCM kutawala milele, ilitolewa na Mhe. Pinda ndani ya Bunge letu tukufu na hakuna aliyetia neno!.
PM, Hon. Mizengo Kayanza Peter Pinda; Sorry, You are very wrong!

Nilidhani Mhe. Pinda amekosea, kumbe mimi ndiye niliyekosea baada ya ukweli huu kuzidi kuthibitishwa na kutamkwa wazi wazi na bayana, itabidi tuu nimtafute Mtoto wa Mkulima, nimuombe msamaha kwa kudhani he was wrong, kumbe mimi ndio I was very wrong!.

Humu jf, mtu wa kwanza kusema kuwa CCM itatawala milele ni mwana jf huyu
Je, CCM Itatawala Milele Au?
Na nilipokutana naye, nilifanya nae mahojiano haya
Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

Kisha nikaja kuandika
Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla !.

Kuhusu hili la CCM kutawala milele, pia niliwahi kulisema hapa
CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?

Katika awamu hii, viongozi wa upinzani walipoamua kujiengua kwenye vyama vyao kujiunga CCM, japo walibezwa, nikasisitiza humu, wasibezwe, wanaona mbali
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Jee Umilele wa CCM Kutawala Tanzania Milele, Unatokana na Nini?.

Umilele wa CCM kuitawala Tanzania, unatokana na mungu wa CCM (not necessarily ni Mungu Baba) kuiteua CCM na na kuifanya chama dola, na kuipatia hati miliki ya kuitawala Tanzania milele na milele!, ndio maana katika baadhi ya makala zangu za nyuma, niliwahi kushauri tuifute ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, tuifute ruzuku kwa vyama vya siasa, Tanzania turejee kuwa nchi ya chama kimoja cha milele, CCM.
Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi
NB: Baadhi ya kauli kama hizi, zinasababisha curses, msije kushangaa watoa kauli kama hizi kuja kuwa cursed na kuchomoka kabla ya wakati kwa sababu neno milele sio neno la mamlaka yetu, ni neno la mamlaka ya over and above, ni mamlaka ya Mungu mwenyewe!.

Kidumu Milele Chama Cha Mapinduzi.
Kiitikio... kidumuuuu....!.

Paskali
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.

Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.

Itaendelea
Haki ingetendeka,basi Zanzibar CUF ndio wangekuwa watawala!
 
Na ukweli utatuweka huru.

Tatizo watu walishazoea uongo na kuufanya ndio maisha yao.

Asante Mungu kwa kutupa Rais msema kweli.
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.

Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.

Itaendelea

Uko sahihi; watawala wakubali ukweli (hasa kujisahihisha wanapo/tunapo kosea) na wanaotawaliwa/tunaotawaliwa tukubali kupokea ukweli!
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.

Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.

Itaendelea
Milele ni miaka mingapi?

Wakati jua litakapoacha kuwaka, takribani miaka bilioni 5 ijayo, CCM itaendelea kutawala Tanzania?
 
Kwa nguvu za majeshi na wizi wa masanduku ya kura.
Tusibadili katiba
Tusiwe na tume huru
Kweli ccm ni milele.
 
ALPHA na OMEGA ni MUNGU PEKEE.

Sjui wamekupa nini walipokupeleka huko kwa kauli hizi lazma nikuwekee mashaka kwa kweli. Usiongozwe na tumbo aisee shughulisha akili yako mkuu.

Chini ya JUA kila kitu kina MWANZO na MWISHO kitakachokuwa MILELE ni MUNGU BABA PEKEE NDIYE ALPHA NA OMEGA MKUU.

RUDI KWENYE MISINGI YAKO USIPOTEE NJIA.

AHSANTE.
 
CCM sii chama cha siasa tena. Chama cha siasa kinapata madaraka kwa ushawishi, CCM inapata madaraka kwa nguvu ya dola. So wakiamua wanaweza kutawala milele.

Hata ufanye mtihani vizuri kiasi gani, anayetoa maksi ndio mwamuzi wa mwisho.
 
Milele ni miaka mingapi?

Wakati jua litakapoacha kuwaka, takribani miaka bilioni 5 ijayo, CCM itaendelea kutawala Tanzania?
Milele ni miaka mingi sana isiyo na kikomo pengne alimaanisha kwa miaka atayobahatlka kuwa hai atashuhudia ccm ikitawala mpaka kifo chake!
 
Wanabodi,

Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.

Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.

Itaendelea
Kwa sarakasi ninazo ziona huko TUNDUMA kwenye maandalizi ya uchaguzi wa madiwani ni kweli ccm itatawala tena zaidi ya milele!!daaa kama hali ikiendelea hivi cjui!!ila sasa ninachojiuliza wapinzani wamepigwa marufuku kufanya siasa lakini mbona CCM unapofikia kipindi cha uchaguzi bado hawajiamini tena kuacha wananchi wakaamua kwa uhuru??bila vitisho??
 
Hii ya kutawala milele inaukakasi kidogo Mkuu. Hao watu wametawala kwa zaidi ya miaka 50 yenye mambo mengi ya kujiuliza. Bado mpaka leo hatujaweza kuondoa maaadui watano wa Taifa letu, UMASIKINI, UJINGA, MARADHI, UNAFKI NA NJAA. Wakati mwingine huwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu aina za siasa za nchi yetu, nadhani matumizi ya akili zetu hayana nafasi kabisa. Naomba tufanye objective analysis tuongozwe na facts na siyo ushabiki au mapenzi. Muheshimiwa Raisi anatimiza wajibu wake kama Raisi na hayo ndiyo mategemeo ya waajiri wake ambao ni sisi wapiga kura.
 
Back
Top Bottom