Kupata mwanaume wa kukupokea bila hata Nida ni ngumu sana. Manara ana moyo

Kupata mwanaume wa kukupokea bila hata Nida ni ngumu sana. Manara ana moyo

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi

Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru

Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.

Mungu atamlipia Manara

Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.
 
Manara kukuoa dada ipo siku atakuchamba mpaka uzimie yule amelelewa na wamama wa kiswahili sana
 
Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi

Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru

Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.

Mungu atamlipia Manara

Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.
No reform no election
 
Nida imezua mambo. Lol.

Ila tuweni wakweli watu kuachana sio mwanzo wa kuanza kutangazana ili kutafuta huruma kwa watu ipate kuonekana mmoja yupo sahihi Manara na huyo Twiga wake wote akili zao zinafanana.

Na kadri siku zinavyokwenda tutayasikia mengi ya hovyo hovyo tusiyopaswa hata kuyajua.
 
Ukiona unaombwa hela bila mpango ujue watu wanakuona fala
Ndo maana huyu kidume alikukimbia, hata papuchi yako hakuitaka tena, maana alihisi unamuona fala 😂 Miss Natafuta
Screenshot_20250411-194608.jpg
 
Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi

Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru

Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.

Mungu atamlipia Manara

Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.
Manara kasema tangu atangaze kuachana na zaylisa, wanawake zaidi ya 1000 wamemwomba hela! Kumbe kweli.
Mwanaume kama una hela!
 
Manara naye ana mapungufu makubwa mnoo kila anayeachana naye anatuletea mitandaoni, anahisi hao wanawake wameficha vingapi wakiamua kutoa mapungufu yake nje? Na pengine kuna jambo ambalo wanavumilia wanachoka wanaamua kutoka, asituaminishe wanawake wooote alio oa wanaachana ndio wana mapungufu.
Kwanza mnwanamke aolewe, apendwe mitandaoni, asifiwe kila mara mitandaoni hadi wengine wanajihisi hawajawahi kupendwa from nowhere tu akurupuke atoke aache mapenzi ya mumewe akahangaike kudanga! Mi nakataa manara anayo mapungufu mengi
 
Back
Top Bottom