Kupata mwanaume wa kukupokea bila hata Nida ni ngumu sana. Manara ana moyo

Kupata mwanaume wa kukupokea bila hata Nida ni ngumu sana. Manara ana moyo

Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi

Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru

Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.

Mungu atamlipia Manara

Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.
On a serious note Zay kakosea sana...kfupi Manara kamleta mjini...kakosa adabu kabisa...angemalizana naye kimya kimya!kamspoil mnooo hata majoty ya ndoa hakunaga hizo...
 
Nida imezua mambo. Lol.

Ila tuweni wakweli watu kuachana sio mwanzo wa kuanza kutangazana ili kutafuta huruma kwa watu ipate kuonekana mmoja yupo sahihi Manara na huyo Twiga wake wote akili zao zinafanana.

Na kadri siku zinavyokwenda tutayasikia mengi ya hovyo hovyo tusiyopaswa hata kuyajua.
Mie naona shida iko kwa Zay
 
Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi

Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru

Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.

Mungu atamlipia Manara

Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.
Sasa ile issue yako ya kilo10 ataiweza?
 
Joanah Joannah hivi yule rafiki yako wa kike uliesema kila mara ana majanga ya hela, anapenda sana kuomba hela, hadi wanaume wanaomtongoza wanakataa kupokea simu zake, mpaka leo amepata mwanaume wa kumuoa kweli
Aolewe na nani?yupo tu anaendeleq kuomba zake hela
 
Yaani wanawake ni viumbe wenye ujasiricwa ajabu sana....yaani kuna wanawake mko humu kabisa mnaona Manara yuko sawa?kweli Manara ataendelea kuoa na kuacha kila mwaka mpaka milele maana bidhaa hazina muda wa kutafakari yote waliyopitia watangulizi wao
 
Back
Top Bottom