Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
On a serious note Zay kakosea sana...kfupi Manara kamleta mjini...kakosa adabu kabisa...angemalizana naye kimya kimya!kamspoil mnooo hata majoty ya ndoa hakunaga hizo...Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi
Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru
Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.
Mungu atamlipia Manara
Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.
Mimi nishaanza kufatilia cheti cha kuzaliwa…. asije kusema alikua anaishi na roboti la Elon grok 😹
Mie naona shida iko kwa ZayNida imezua mambo. Lol.
Ila tuweni wakweli watu kuachana sio mwanzo wa kuanza kutangazana ili kutafuta huruma kwa watu ipate kuonekana mmoja yupo sahihi Manara na huyo Twiga wake wote akili zao zinafanana.
Na kadri siku zinavyokwenda tutayasikia mengi ya hovyo hovyo tusiyopaswa hata kuyajua.
😹😹😹 Hamna jema linapokuja swala la kuachana…!!Fala sana wewe😂
Sasa ile issue yako ya kilo10 ataiweza?Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi
Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru
Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.
Mungu atamlipia Manara
Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.