Kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022

Kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022

Shukran, Leo naibuka pale
Duuh, nimefika naambiwa Leo NO, maandalizi ya UHURU DAY, hivyo J3 natinga hapa tena, mpaka kieleweke, kabisa mwenye ujuzi wa pale nyumba ya Biden aanza kunipa style ya kuingia na kutoka na Visa yangu.
 
Eheeee, we apply online tuone kama wanakuletea! Ukiwaza hivyo safari utasikia kwa radio!!!
Pasipoti uletewi unafata ofisini kama ni haraka Sana mfano matibabu au mikutano nje au safari yeyeto ya haraka hata siku hio hio unapata ukienda asubui jioni unapata , online ni taratibu za siku hizi Ili kusogeza huduma karibu,
 
Duuh, nimefika naambiwa Leo NO, maandalizi ya UHURU DAY, hivyo J3 natinga hapa tena, mpaka kieleweke, kabisa mwenye ujuzi wa pale nyumba ya Biden aanza kunipa style ya kuingia na kutoka na Visa yangu.
Nasikia kuingia kwa Biden siku hizi sababu ya Omicron lazima upime korona ndani ya masaa 24 kabla ya safarI.
 
Back
Top Bottom