Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 314
- 682
Mwezi uliopita nilisafiri kwa mjomba anayeishi kaunti ya Nakuru mjini. kuna mchongo alikuwa ameniitia ya kuchukua mzigo ambao nitaupeleka Dar nikauze. kwenye harakati yangu nikapatana demu,nilirusha nyavu. nikamweleza aki uko umeweza.akasema kiaje?nikamjibu.haga yako inamada mbaya.
Smile yako manze inakaa fiti aki nadai hiyo.akasema seriously?nikamjibu.akinimekunoki mbaya sana. unaweza nichorea form?mukami:unaitwa nani? Jonteh nakaanga tuh hapa town Nakuru.
Nikamfix nikampa namba baadaye nikamtumia fare.akaja gheto nachakushangaza nimemtongoza na siku tatu nikazama chumvini.ingekuwa bongo tungezungushana wiki 2,mchagga mwezi.