Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Ndoa pamoja na burudani tena watakugombania hapo waoaji ni wachache sana wengine ukiwa anakugongea passport anakwambia natamani kuolewa na mgeni sio local mwenzie huku wanawake sio kama huko kukataa ndio wanaona sifa..Point ni ipi
Wanapenda ndoa au wanapenda burudani?