Kupata pisi Kenya ni rahisi kuliko Tanzania

Pisi zipo Gaborone au Botswana yote tena zinataka kuolewa na Watanzania huko kote mnazunguka mimi kila naekutana nae anasema anatamani kuolewa na Watanzania maana majirani zao wengine waliolewa na Watanzania na maisha yanaenda vizuri tu shida ila ni wazuri sijui kama wametulia hawa watswana maana mimi nilikua nawapitia tu bila malengo ya kuoana..
Watswana wanapenda ndoa kuliko kitu chochote kile maana wanapenda sana burudani na ni wazuri kweli..
Waswatini pia wanapenda kuolewa na wabongo.
 
Kwani kaka samahani kidogo hivi materials za sabuni mfano siless, sulphonic, sodium silicates kuchukua pipa Moja kulileta zenji kutoka south, na china wapi bei nafuu material na kisafirisha kuja zenji
Ungeagiza China maana SA gharama ya kusafirisha itakua kubwa ila wao sidhani kama wanauza bei kubwa ila kusafirisha mpaka daslm ina gharama kidogo..
 
Kwani kaka samahani kidogo hivi materials za sabuni mfano siless, sulphonic, sodium silicates kuchukua pipa Moja kulileta zenji kutoka south, na china wapi bei nafuu material na kisafirisha kuja zenji
Kuna trip ntapakia oil siku za karibuni ntafatilia na hizo chemical viwandani kujua bei yake ntakujulisha nipe namba inbox.
 
Pisi zipo Gaborone au Botswana yote tena zinataka kuolewa na Watanzania huko kote mnazunguka mimi kila naekutana nae anasema anatamani kuolewa na Watanzania maana majirani zao wengine waliolewa na Watanzania na maisha yanaenda vizuri tu shida ila ni wazuri sijui kama wametulia hawa watswana maana mimi nilikua nawapitia tu bila malengo ya kuoana..
Watswana wanapenda ndoa kuliko kitu chochote kile maana wanapenda sana burudani na ni wazuri kweli..
Wanasema wengi Wana umeme😭
 
Back
Top Bottom