Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 314
- 682
nina uraia pacha mtanzania na bado mgandaAyatollah the Bird umenishinda tabia
Inaonekana wewe ni EA citizen,make huishi kusafiri ukanda huu wa EA
Kenya life ngumu sana nasikia huko!!
Bongo nako sio mepesiNaskia,skia tu kwamba life nii ngumu kule
sasa wakenya hawatawazi unazamaje.chumvini we lofaMwezi uliopita nilisafiri kwa mjomba anayeishi kaunti ya Nakuru mjini. kuna mchongo alikuwa ameniitia ya kuchukua mzigo ambao nitaupeleka Dar nikauze. kwenye harakati yangu nikapatana demu,nilirusha nyavu. nikamweleza aki uko umeweza.akasema kiaje?nikamjibu.haga yako inamada mbaya.
Smile yako manze inakaa fiti aki nadai hiyo.akasema seriously?nikamjibu.akinimekunoki mbaya sana. unaweza nichorea form?mukami:unaitwa nani? Jonteh nakaanga tuh hapa town Nakuru.
Nikamfix nikampa namba baadaye nikamtumia fare.akaja gheto nachakushangaza nimemtongoza na siku tatu nikazama chumvini.ingekuwa bongo tungezungushana wiki 2,mchagga mwezi.
Ni za kupitia tu mkuusasa wakenya hawatawazi unazamaje.chumvini we lofa
Point ni ipiPisi zipo Gaborone au Botswana yote tena zinataka kuolewa na Watanzania huko kote mnazunguka mimi kila naekutana nae anasema anatamani kuolewa na Watanzania maana majirani zao wengine waliolewa na Watanzania na maisha yanaenda vizuri tu shida ila ni wazuri sijui kama wametulia hawa watswana maana mimi nilikua nawapitia tu bila malengo ya kuoana..
Watswana wanapenda ndoa kuliko kitu chochote kile maana wanapenda sana burudani na ni wazuri kweli..