Kupata pisi Kenya ni rahisi kuliko Tanzania

Hata bongo ukikutana na wauzaji ni chaap wewe simu tatu wenzako wanachukua siku hiyo hiyo
 
Wanaonekana wapo vizur sana
 
Ndoa pamoja na burudani tena watakugombania hapo waoaji ni wachache sana wengine ukiwa anakugongea passport anakwambia natamani kuolewa na mgeni sio local mwenzie huku wanawake sio kama huko kukataa ndio wanaona sifa..
Hii nimeamini na Mimi nimekutana na case kama hizi, ila wengi ni single Maza

Yule Dada alikuwa mzuri Sana, Tabia na Uzuri wa umbo shape kama nyigu.

Sikujua kwanini aliachwa, ila siku zote ananiambia bush Dokta natamani kuolewa nikae na Mwanaume.

Ssa Mimi sikutaka shobo nikawa namwambia Mungu atakujalia Ndoto zako zitimie
 
Ndoa ni Raha Sana aisee alikwambia mtu hasa ukiwa na mtu ambaye mnapendana na kujaliana, kwa hiyo wako Sawa kama ndicho wanachojali
 
Kuna kijiji kimoja gari iliharibika nikawa nasubiri parts kutoka Fransictown nikiwa Nata pale nilikutana na waliomaliza chuo wa kutosha sio single maza mpaka binti mmoja mzuri hatari nikasema daah life hii huku mnatafuta wa kuwaoa wakati kwetu wakiwakatalia wanaume wanajitangaza kwenye mitandao na wanaona sifa..
Botswana wanawake kukataa kwao ni kama kosa la jinai kwa Mwanaume wanaamini sana katika mila zao kwamba wao wapo chini ya mwanaume.
 
Ndoa ni Raha Sana aisee alikwambia mtu hasa ukiwa na mtu ambaye mnapendana na kujaliana, kwa hiyo wako Sawa kama ndicho wanachojali
Na wengine wanajishusha chini sana na upendo kweli wanao na pia wakiolewa wengi naona kama wanajali sana ndoa zao tofauti na wale majambazi ya SA..
 
Duuh natamani nifike, vipi na Zambia ni hivi hivi Mila na desturi zao?
 
South Afrika ni dysfunctional society, imeharibiwa na wazungu
Sema wasouth wanaenda kuiharibu Botswana na Nchi zingine za jirani ila hela yao ina nguvu mno Tsh 194 ni pula moja hiyo rand nayo ipo huko huko hao jamaa wana balaa harafu mafuta wamepandisha juzi baada ya vita ni rand 25 wakati SA yanauzwa rand 32 kabla ya vita walikua wanauza rand 22.
 
Mzee Isanga umekata Mitaa Sana huko
 
Nipigie pass ya kisigino mkuu, usimuache akae single wazee tupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…