Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Walikua na sheria ukioa Mswana unapewa uraia na unabaki nae hapa ila sasa hivi huyu Rais mpya Mwanasheria kaja na wao Mwanaume akioa chukua usikae nae ukweni hata uraia ukitaka utapewa ila uondoke nae Tanzania ndio shida inapoanzia hapo..Kaka na wao hawatak wagen?
Waswatini pia wanapenda kuolewa na wabongo.Pisi zipo Gaborone au Botswana yote tena zinataka kuolewa na Watanzania huko kote mnazunguka mimi kila naekutana nae anasema anatamani kuolewa na Watanzania maana majirani zao wengine waliolewa na Watanzania na maisha yanaenda vizuri tu shida ila ni wazuri sijui kama wametulia hawa watswana maana mimi nilikua nawapitia tu bila malengo ya kuoana..
Watswana wanapenda ndoa kuliko kitu chochote kile maana wanapenda sana burudani na ni wazuri kweli..
Yes ni kweli sema waongo sana na sio waaminifu kama wazuru/wakhosa tu unaweza kumshusha sehemu jamaa ako akatangulia mbele akamdaka tena tofauti na hawa Waswana au wasutu..Waswatini pia wanapenda kuolewa na wabongo.
Yani umuchukue uje ukae nae tanzaniaWalikua na sheria ukioa Mswana unapewa uraia na unabaki nae hapa ila sasa hivi huyu Rais mpya Mwanasheria kaja na wao Mwanaume akioa chukua usikae nae ukweni hata uraia ukitaka utapewa ila uondoke nae Tanzania ndio shida inapoanzia hapo..
Ndio maana watu walikua wanaenda Botswana kuoa ili wapate makaratasi ya kuishi permanent resident au uraia kabisa sasa hivi uraia hawatoi wanakwambia chukua mke wako mkaishi kiumeni huko..Yani umuchukue uje ukae nae tanzania
Hahahahaaaa🤣 wametustukia,Ndio maana watu walikua wanaenda Botswana kuoa ili wapate makaratasi ya kuishi permanent resident au uraia kabisa sasa hivi uraia hawatoi wanakwambia chukua mke wako mkaishi kiumeni huko..
Wana akili nyingi sana.Hahahahaaaa🤣 wametustukia,
Kwani kaka samahani kidogo hivi materials za sabuni mfano siless, sulphonic, sodium silicates kuchukua pipa Moja kulileta zenji kutoka south, na china wapi bei nafuu material na kisafirisha kuja zenjiWana akili nyingi sana.
Ungeagiza China maana SA gharama ya kusafirisha itakua kubwa ila wao sidhani kama wanauza bei kubwa ila kusafirisha mpaka daslm ina gharama kidogo..Kwani kaka samahani kidogo hivi materials za sabuni mfano siless, sulphonic, sodium silicates kuchukua pipa Moja kulileta zenji kutoka south, na china wapi bei nafuu material na kisafirisha kuja zenji
KabisaaMnamtesa Lisu
Kuna trip ntapakia oil siku za karibuni ntafatilia na hizo chemical viwandani kujua bei yake ntakujulisha nipe namba inbox.Kwani kaka samahani kidogo hivi materials za sabuni mfano siless, sulphonic, sodium silicates kuchukua pipa Moja kulileta zenji kutoka south, na china wapi bei nafuu material na kisafirisha kuja zenji
Poa boss nakuchek dmKuna trip ntapakia oil siku za karibuni ntafatilia na hizo chemical viwandani kujua bei yake ntakujulisha nipe namba inbox.
Wanasema wengi Wana umeme😭Pisi zipo Gaborone au Botswana yote tena zinataka kuolewa na Watanzania huko kote mnazunguka mimi kila naekutana nae anasema anatamani kuolewa na Watanzania maana majirani zao wengine waliolewa na Watanzania na maisha yanaenda vizuri tu shida ila ni wazuri sijui kama wametulia hawa watswana maana mimi nilikua nawapitia tu bila malengo ya kuoana..
Watswana wanapenda ndoa kuliko kitu chochote kile maana wanapenda sana burudani na ni wazuri kweli..
SA ndio HIV ipo juu sana kwa watu serious wanapima hata Malawi huko kwenu umeme upo juu sana hakuna sehemu umeme hakuna..Wanasema wengi Wana umeme😭