Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Leo jua litapatwa yaani mwezi utafunika jua na kufanya mchana giza litande na uonekane kama usiku lakini kwa asilimia kubwa maeneo watakayofaidi ni marekani Canada na Mexico. Nchi nyingine tutaona angalau kupatwa kwa jua Kwa sehemu tu.
 
Attachments

  • 74915792.jpg
    74915792.jpg
    41.4 KB · Views: 2
Leo jua litapatwa yaani mwezi utafunika jua na kufanya mchana giza litande na uonekane kama usiku lakini kwa asilimia kubwa maeneo watakayofaidi ni marekani Canada na Mexico. Nchi nyingine tutaona angalau kupatwa kwa jua Kwa sehemu tu.
Asante mkuu kwa taarifa
 
Duh nimeona pahala kuwa hii ni sign ya impending DOOM
Hakuna kitu km hicho sio sign ya impending DOOM sayansi ya anga imeeleza kila kitu
Hapo ndo naiheshimu sayansi!

Kwa kutumia kanuni zake, tunaweza kujua siku, muda, na maeneo ambayo tukio hilo litatokea.

Wachawi mko wapi?
Nyani ngabu me huwa nawashangaa watu hata water cycle wamekataa kuielewa eti imagine viongozi na raia wanajazana uwanja wa taifa kuomba mvua inyeshe yaani cycle inayojiendesha yenyewe unaiomba Tena?
 
Attachments

  • Screenshot_20240408-055254.png
    Screenshot_20240408-055254.png
    654.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom