Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

tunamshukuru sana rais kwa kufanikisha kupatwa kwa jua, safari nyingine alete kupatwa kwa jua huku kwetu maana tangia nizaliwe sijawai shuhudia tukio hilo
Umezaliwa baada ya 2000?
Kuna raisi wa awamu ya 3 alituletea hilo tukio Mubashara kabisa, tukauziwa mpaka miwani ya kuangalizia, Mbeya ndo walilifaidi tukio kwa 100%
 
Umezaliwa baada ya 2000?
Kuna raisi wa awamu ya 3 alituletea hilo tukio Mubashara kabisa, tukauziwa mpaka miwani ya kuangalizia, Mbeya ndo walilifaidi tukio kwa 100%
Hata Rais wa awamu ya Tano pia
 
tunamshukuru sana rais kwa kufanikisha kupatwa kwa jua, safari nyingine alete kupatwa kwa jua huku kwetu maana tangia nizaliwe sijawai shuhudia tukio hilo
Wewe kweli una mwaka mmoja au, miaka kadhaa iliyopita watu walimiminika mbarali Mbeya kwenda kushuhudia kupata kwa jua, mida ya saa sita mchana ulikuwa ujazaliwa.
 
Hongera CCM Mmetuletea Hilo Tutaliona Sasa
 
Back
Top Bottom