Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

Wewe kweli una mwaka mmoja au, miaka kadhaa iliyopita watu walimiminika mbarali Mbeya kwenda kushuhudia kupata kwa jua, mida ya saa sita mchana ulikuwa ujazaliwa.
huko si mbarali mkuu, huku kwetu mm sijawai shuhudia tukio hlo, ndo maana nimemuomba rais safar nyingine alilete huku kwetu ili nishuhudie live.
 
tunamshukuru sana rais kwa kufanikisha kupatwa kwa jua, safari nyingine alete kupatwa kwa jua huku kwetu maana tangia nizaliwe sijawai shuhudia tukio hilo

Ilitokea Tanzania 2016 ... ulikuwa wapi ?
 
So inawezekana hata siku ya kusurubiwa Kristo yale masaa 3 iligongana na siku kama hii?
 
Leo jua litapatwa yaani mwezi utafunika jua na kufanya mchana giza litande na uonekane kama usiku lakini kwa asilimia kubwa maeneo watakayofaidi ni marekani Canada na Mexico. Nchi nyingine tutaona angalau kupatwa kwa jua Kwa sehemu tu.
Huko marekani si kutakuwa usiku na wamelala?
 

Attachments

  • Screenshot_20240408-055254.png
    Screenshot_20240408-055254.png
    654.2 KB · Views: 2
Kama si juhudi za serikali ya awamu ya sita haya mambo yasingetokea
Asante mama na serikali ya sisiem kwa kupatwa kwa jua
 
Tunaishukuru serikali chini ya uongozi wake Rais S Hassan kwa kufanikisha kupatwa kwa jua. Tunaomba wakati mwingine muda uongezwe jua lipatwe siku nzima ili wananchi tufaidike. Asante.
 
Natamani Sana ningepata nafasi ya kushuhudia!!
Hivi hutokea kila baada ya muda gani??
 
Back
Top Bottom