LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
huu mpangilio wa solar eclipse hesabu yake inapatikanaje? Kama sikose total solar eclipse ilitokea tanzania mwaka 1984 majira saa nne/tano asubuhi na partial ilitokea mwaka 2016 majira ya saa tisa adhuhuri ambapo mwezi ulifunika jua kidogo na mwanga ukawa hafifu. Ikitokea mwezi ukafunika jua kwa asilimia mia moja kuna watu hawajawahi kuona wataogopa sanaTanzania next partial solar eclipse ni mpaka tar 2 Aug 2027 na ile kupatwa yenyewe total solar eclipse ni tar 9 April 2100