Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Kwenye mchakato wa ujenzi mafundi wanatupigia gharama za juu sana aiseee. husanai kwenye kupau, nyumba yenye vipimo vya 12.007 Kwenye urefu na upana, mtu anakwambia bati 150, mwingine 133 , mwingine 118, mwingine 120.. yaani unashindwa ata kufahamu umpe kazi fundi yupi
 
Uko sahihi mkuu Mimi nimepeleja saiti mafundi watatu idadi ya bati ilikuwa tofauti mmoja 140 , mwingine 120 mwingine 110 Nyumba INA urefu wa 12m upana 10.6m hapa nimekata tamaa kabisa
 
Uko sahihi mkuu Mimi nimepeleja saiti mafundi watatu idadi ya bati ilikuwa tofauti mmoja 140 , mwingine 120 mwingine 110 Nyumba INA urefu wa 12m upana 10.6m hapa nimekata tamaa kabisa

Hata kama unania ya kupiga msouth unajikuta unakwama unakimbilia simba dumu bei nafuu...
 
Uko sahihi mkuu Mimi nimepeleja saiti mafundi watatu idadi ya bati ilikuwa tofauti mmoja 140 , mwingine 120 mwingine 110 Nyumba INA urefu wa 12m upana 10.6m hapa nimekata tamaa kabisa
Usikate tamaa jikusanye tu uchukue hata bando 6.5 au 7 ucheki ila uwe na akiba ya kuongezea kama yatapungua.
 
Uko sahihi mkuu Mimi nimepeleja saiti mafundi watatu idadi ya bati ilikuwa tofauti mmoja 140 , mwingine 120 mwingine 110 Nyumba INA urefu wa 12m upana 10.6m hapa nimekata tamaa kabisa
Umetumia gharama total kiasi gani ku raise boma lenye upana huo uliouanisha? Approximately
 
Hahahaahha Kuna mafundi wa level tofauti fundi wa mbagara hawezi kuwa sawa na fundi wa kinondoni kwahiyo fanya survey hata pembezoni mwa jiji mbona watu wemepaua vizuri tu baadaye unamtafuta fundi aliyehusika na ujenzi huo
Mie nguvu zikaniishia kabisa maana ndo nitakaribia stage hizo sasa huku sikutishana uku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact and clear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma..Kuna mafundi Vimeo anakupa makadirio ya Chini ili ummpe kazi..ukiingia field jasho litakutoka
 
Humu kama hujawai kujenga kuna uongo mwingi sana![emoji28][emoji28]
 
Mkuu ufundi wa kuezeka tu mil 3? @zembemkuu
Mkuu,

Huyo asikuingize mkenge,

Taaluma ya ujenzi ina kanuni zake

1. Fundi ambaye ni kandarasi na amesajiliwa na mamlaka ya bodi ya ujenzi gharama za ufundi ni asilimia 35% ya gharama za vifaa vya kukamilisha ujenzi kamili;
2. Fundi binafsi ambaye hajasajiliwa lakini ana taaluma ya ujenzi wa aina zote (uashi, umeme, bomba, useremala, nk) ni asilimia 25% ya gharama halisi za vifaa na huduma nyongeza kwenye mradi husika;
3. Usikubali kuwa na fundi wa malipo ya siku ila fanya mapatano na fundi baada ya tathimini ya gharama za vifaa na huduma nyongeza kukamilisha mradi ambazo ni (tofali, mchanga, simenti, mbao, bati, kokoto, mawe, maji, uchimbaji msingi, nk) kisha 25% kutoka kenye jumla ya gharama ndio malipo ya fundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…