Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nina mgongo mpana mwaka wa 12 sasa bado mbichi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bati 110 means ni mita 330 hizo.
Hata mimi, nilikuwa wa kung'oa bati niweke lingine. Sasa naweza kupaka rangi tuAsante sana mkuu kwa kuuliza mambo haya. Wengi tumepata faida.
Paka rangi mkuu,kung'oa bati ni hasara kubwa.Hata mimi, nilikuwa wa kung'oa bati niweke lingine. Sasa naweza kupaka rangi tu
Aina?,ni kampuni Gani ulinunua?,ALAF,Ando,NABAKI AFRIKA,SUNSHARE,WAJA,KIBOKO? etc.Wakuu bati zangu zimeanza kupauka ndani ya miaka 5 toka nipaue Aina yake ni zile za migongo mipana.
Je Kuna rangi nikipaka itadumu kwa kitambo kirefu? Naomba kuwasilisha
Ando mwenyewe anapauka vizuri mno.Aina?,ni kampuni Gani ulinunua?,ALAF,Ando,NABAKI AFRIKA,SUNSHARE,WAJA,KIBOKO? etc.
Bati zote zenye rangi zinapauka,sema "rate" ya kupauka inatofautiana kulingana na "tech" yakiwanda husika.
Issue kubwa kwenye bati ni kutopata kutu!
Mfano GAUGE 30 ALAF,3M anauza 39400/= huku wakina SUNSHARE na WAJA ,wanauza elfu 20,......unaweza fikiri ALAF Wana tamaa sana na hela zako😄😁😆
Ila believe me ukiezeka hizo SUNSHARE/WAJA zitanga"aa sana kuliko ALAF ndani ya mwaka,ila baada ya hapo hamna kitu,zinatepeta,zonapoteza rangi na zinapata kutu.
Unajua kwa nini,ALAF anatumia chuma aina ya Chromium,ambayo ni rust resistant while,SUNSHARE/WAJE et al,hutumia Fero-Aluminium ambayo ni rust attract,.......hata uzito tofauti,mafundi ukiwapa kazi yakukutautia bati hawatakushauri ALAF,sababu ni bati nzito mno,watakushauri KIBOKO,WAJA,SUNSHARE sababu ni nyepesi wapate urahisi kuzibeba na kuzikunja
Ukiniambia nikushauri kuhusu roofing materials:-
1.NABAKI AFRIKA 2.ANDO ROOFING 3.ALAF
Umesoma vizuri nilichoandika?,😀😆😁Ando mwenyewe anapauka vizuri mno.
Nishauri rangi gani mkuu. Yaani mpaka boda akielekeza anasema si pale kwenye bati lililopauka?Paka rangi mkuu,kung'oa bati ni hasara kubwa.
Jambo la kuzingatia kwenye ununuzi wa mabati ya rangi ni kununua bati lenye geji iliyotimia masuala ya rangi ni madogo sana.
Angalau rangi zinazochelewa kupauka ni hizi:Nishauri rangi gani mkuu. Yaani mpaka boda akielekeza anasema si pale kwenye bati lililopauka?
Sawa mkuu, nitazingatiaAngalau rangi zinazochelewa kupauka ni hizi:
1. Brick Red/maroon.
2.Coffee.
3. Red ambapo Kampuni ya kiboko wanaita Kampala red,Kinglion wanaita wine red.
4. Carrot/dark pink( Alaf wanayo nzuri)
5.Sky blue ( Alaf pekee Wana hii rangi nzuri).
Lakini usijichanganye kununua rangi ya dark grey au black maana hali ya hewa yetu siyo rafiki pia kampuni nyingi za mabati bado hazijapata suluhu la kudumu la rangi hii nyeusi.
Kwa ambao bado kuzeka nyumba tumejifunza kitu hapaAngalau rangi zinazochelewa kupauka ni hizi:
1. Brick Red/maroon.
2.Coffee.
3. Red ambapo Kampuni ya kiboko wanaita Kampala red,Kinglion wanaita wine red.
4. Carrot/dark pink( Alaf wanayo nzuri)
5.Sky blue ( Alaf pekee Wana hii rangi nzuri).
Lakini usijichanganye kununua rangi ya dark grey au black maana hali ya hewa yetu siyo rafiki pia kampuni nyingi za mabati bado hazijapata suluhu la kudumu la rangi hii nyeusi.
Karibu.Kwa ambao bado kuzeka nyumba tumejifunza kitu hapa
Geji sahihi nayo ni ishu!Paka rangi mkuu,kung'oa bati ni hasara kubwa.
Jambo la kuzingatia kwenye ununuzi wa mabati ya rangi ni kununua bati lenye geji iliyotimia masuala ya rangi ni madogo sana.