Kupe, mdudu anayeweza kumfilisi mfugaji ndani ya muda mfupi

Kupe, mdudu anayeweza kumfilisi mfugaji ndani ya muda mfupi

Mbuzi isiolo/ Galla. Mbegu kama hii gharama ya kuitoa Kenya mpaka ikufikie shambani halafu mdudu mdogo aje akuletee hasara?! Wafugaji tuseme hapana,tuitunze vyema mifugo wetu.
 

Attachments

  • 20250117_163446.jpg
    20250117_163446.jpg
    885 KB · Views: 0
Back
Top Bottom