Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

Unaweza kukuta mtoa mada ndo huyu aliyepata 0 😂 lazima apinge usaili

Screenshot_20250127-191605.png
 
Hapo Tena waongeze muwe mnaomba ajira kwenye halmashauri muwe mnaenda fanyia usaili halmashauri husika
Ajira za Halmashauri, then unaambiwa utoke mkoa ulio kuwepo uwende Dodoma kuchukua barua, ukitoka hapo uwanze safari ya kuriport kituo ulicho pangiwa kazi kwa sisi jobless tunao anza kazi hizo pesa za kuzunguka hivyo kwa haraka haraka mtu huna tu, gharama za safari tu mtihani kazi kuimudu ndio usiseme pengine mishahara uwambiwe mwezi ujao kupata na upo mkoani kwa watu kwa kukaa mtu huna wala kufikizia ni mtihani sana.
 
Back
Top Bottom