Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

Nasikia mkenda alikuwa mkufunzi wa SUA.
Inaweza kuwa kweli lakini kuwa mkufunzi si uwe tu umetimiza vigezo vya chuo usika kama vile kuwa na G.P.A kubwa na kufauli interview ya chuo husika

Lakini naposema siyo mwalimu ,, namaanisha bwana Mkenda degree yake ya kwanza siyo ya ualimu mfano magufuri au Mwalimu Nyerere tunawaita walimu kwasababu diploma zao au degree zao za kwanza zilikuwa ni za uwalimu ..
 
Upo sahihi
 
Umewahi kufikiria kitu kinachoitwa kubebana?ndiyo sababu ya kuondoa hizo kazi Tamisemi,,kujuana kulijaaa,,,
 
Lakini kuzileta huku utumishi ,, madhara yake si wote tumeyaona ?? Au kuna mtu bado hajayaona mpaka muda huu ??

Kweli ,, ajira za uwalimu ambazo kibari kiliyoka mwezi wa 4 ,, mpaka mwezi huu wa kumi na moja bado watu hawaja ajiliwa ,,, je bado umnatka ziendelee kubaki huku ??? Na kama myakaza fuvu na kujitia amuelewi basi walimu jueni fika ajira za mwaka huu hazipo msubilie za mwaka ujao
 
Cool yote ni sawa tu
 
We waache watajuta maana kuna kata moja tumepita mwezi ulioisha tukakuta upungufu wa walimu msingi tu ni 24 sasa jumlisha kata zilizopo tanzania ile report ilinishtua mezani ikabidi niisome vizuri nikakuta mwaka jana kata nzima hiyo wanafunzi 30 wali fail asee nikaiweka pembeni kwanza nikaenda kunywa bia.
Bado mpaka leo unakunywa takataka mkuu
 
Hivi mwaka huu waliajiri waalimu kweli?
Hii kada inaonekana siyo ya mihimu kabisa,inaonekana watoto wanaweza kujifunza vizuri tu padipokua na waalimu wa kutosha.Shule zizidi kuongezeka ziwage na waalimu hata wawiliwawili,wengine tuendelee na mishe nyingine.Shenzi kabisa.
 
Ishue siyo kada nyingine hebu usinitoe kwenye mada ,, let stick on the topic ,,, issue kulikuwa na ulazima gani kuzielekezea huko?

Hebu tujaribu kutanua ulingo wa kufikiri, okay fine, imeonekana interview ndiyo muarobaini hasa wa nani apate kazi na nani aachwe ,, sasa swali langu je Tamisemi wenyewe walishindwa kuandaa panel ambayo itakuwa responsible katika ku- run interview ya walimu ili kuondoa tatizo la ucheleweshwaji ambao limeshaonekana ni suguu pale utumushi?
Walimu kila siku kelele ebu Tulieni mfanye interview
 
Back
Top Bottom