Kweli upo sahihi ,, lakini toka walipoingiza mchakato wa interview ni wazi wameamua kutojali wala kufikiria wahitimu wa muda mrefu ,,
why i'm writting this coz ,, haingii akili mtu umemuacha miaka tisa ,, tena akili ikiwa hafikirii kabisa kuwa kutakuja kuwa na swala la interview ,,
lakin pia mtu huyu muda huu wote amekuwa anajigusisha na vitu vingine kama bodaboda , udalali na saidia fundi to get his life going ,, afu leo from nowhere unamkurupua na kumwambia sasa bwana inabidi ufanye interview kupata kazi ,, yes !! you got to remember those things you studied 10 years ago just to prove to us how compitent you are to secure this job ...
hii siyo fair hata kidogo hata wangesema sijui ukilingana marks na aliyemaliza karibuni basi utakuwa favored still mzani haupo fair hata kidogo labda watu waliomaliza 2015 mpaka 2018 wawe na marks yao let say 40% kwenda oral interview afu waliomaliza 2019 mpaka 2023 iwe 60%